Wong Fei
JF-Expert Member
- Apr 13, 2016
- 4,818
- 6,464
Waziri wa michezo hana hata knowledge yyte kuhusiana na michezo. Kisa ni mwanaccm basi kapewa uwaziri.
Nishakataa kushabikia timu za Tanzania sbb kwanza zinaenda kisiasa, 2. Ubaguzi, wachezaji wanatoka simba na yanga.
Siwezi kujipa presha kuishabikia taifa stars. Mm nilikuwa zangu Lesotho
Pesa zote wameenda kunywea pombe. Nilishangaa sana kuona nyasi za simba na basi la serengeti boys linataka kupigwa mnada kisa kodi. Niliona ni upuuzi sana tena sana. Nilijua hatutafika mbali,
taifa stars ni ugonjwa wa moyo. Bora nicheki timu za nje kuliko hizi za wendawazimu.