Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 127,942
- 244,529
Nimetoa option pale juu , rudia kusoma .Tufanyaje sasa mkuu...usilaumu tu
Mpira si sawa na kuandaa mkutano wa chama.. Wamevuna walichopanda..Poleni wa TZ, kila sehemu viwango vinapanda na kuongezekaWamecheza soka bovu kabisa ! Hivi kama mnashindwa kuifunga Lesotho mtamfunga nani ?
Kuna haja ya kuiondoa Taifa stars kwenye michuano yote ili kuepuka aibu.
Hii nchi haijajipanga kisoka .
Nakala imfikie Jamal Malinzi , Rais wa TFF.
sasa iondolewe tunajenga tunabomoa?Nimetoa option pale juu , rudia kusoma .
Hii noma sasa !Michezo ni maandalizi ya muda mrefu na sio kauli mbiu!! Lesotho nao wamedindaaa!!!???? Hata wale under 17 posho zao hadi leo hawajaripwa nasikia walipewa nauli tu za kuwafiisha makwao tu!! Eti GABOOOON MPAKA KOMBE LA DUNIAAAA!!!!
Ni bora tubomoe tuanze upya kuliko kujenga huku inabomoka yenyewe .sasa iondolewe tunajenga tunabomoa?
Hivi Mayanga aliwahi kufanikiwa katika lipi ?Huyo...kocha ajiuzuru mapema....kabla mambo hayajaalibika....akuna kitu amefanya.....timu inacheza hovyooo kabisa.....
Ingia wewe kwenye timu ya taifa ili utufungie mabao mengi shenzy type mibongo kwa lawama.Wamecheza soka bovu kabisa ! Hivi kama mnashindwa kuifunga Lesotho mtamfunga nani ?
Kuna haja ya kuiondoa Taifa stars kwenye michuano yote ili kuepuka aibu.
Hii nchi haijajipanga kisoka .
Nakala imfikie Jamal Malinzi , Rais wa TFF.
mmmh..sawa mkuuNi bora tubomoe tuanze upya kuliko kujenga huku inabomoka yenyewe .
Wachezaji wenyewe wako wapi?? Hata huyo samata mtamlaumu bure tu timu ni ushirikiano wa wote!! Wengi wao ni vichwa vya ndezi tu, kesho utasikia mala vijana wamejitahidi. Kujipa moyo wa kijinga tu LESOTHOO!!!Siku tegemea.mtu km ulimwengu umwanzishe kat..wakat ulmwengu ni mchezaji anaetokea pemben pia wachezaj c wa.kuwalaumu bhn bt mayanga anashindwa kuwatumia wachezaj.aisee