TANROADS na Mamlaka za Majiji wanavyo mzalilisha Makamu wa Rais kwa uharibifu wa mazingira

August

JF-Expert Member
Jun 18, 2007
9,121
4,973
Siku hizi kumezuka Tabia za malorry makubwa kwa magari kuegeshwa pembezoni mwa barabara au kwenye njia za waendao kwa miguu, hivyo kujaribu mazingira, kwani sehemu hizo sio hazikujengwa kuhimili uzito huo na kwa madhumuni hayo na pia zina kiuka haki za watumiaji wengine wa sehemu hizo, iwe waenda kwa miguu au magari mengine.


A load of inconvenience as lorry operators hijack service roads

May 12, 2024
Sunday, May 12, 2024

 
Back
Top Bottom