Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 14,765
- 42,910
Hello
Hapo zamani
Njaa nimewahi kulala zaidi ya mara moja.
Nimewahi kukosa mahali pa kulala.
Nimewahi kulala porini peke yangu.
Nimewahi kushikwa mjini kwa kosa la uzurulaji.
Nimewahi kukataliwa na mtu niliyemwamini kutia Saini fomu yangu ya kujiunga kidato cha 5.
N.k.
N.k
Baada ya miaka takribani 10 ya amani nimejikuta nimetumbukia kwenye jaribu moja konki for me. Yawezekana kwako wewe msomaji ni cha mtoto.
Ila safari hii, hii miezi 2 nimepitia magumu yaliyoniumiza zaidi ya hayo niliyoyataja juu. I hope sasa na hili limepita, kama moto tuseme majibu yenye joto ndo yamebaki.
Taleta Uzi soon pindi tu likiisha kwa 100%.
Sikwenda kwa mganga wala kwa manabii matapeli wanaofanya biashara kwa mgongo wa jina la Yesu.
Sasa sidhani kama kuna jaribu kubwa zaidi ya haya niliyopitia.
Am matured.
Mungu , utukufu na heshima ni vyako.