juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,463
- Thread starter
- #21
Kwangu yote sawa tu,maana sikumbuki ni lini niliwasha tv yangu.umesahau na kumshauri apige marufuku hata kuonyesha Live vipindi vya mipira,taarifa ya habari,ziara za wakubwa na mambo mengine yanayofanana na hayo na ikiwezekana afungie TV zote zibaki redio tu,