Tangazo la tigo linaloitwa "halichachi" linaboa hapa JF

Inaonekana una simu yenye screen ndogo sana mpaka ukitaka kusoma thread humu JF lazima ufumbe jicho moja kwanza.

Joking.
 
Mnatumia jf hamlipii hata 100,hao wanaolipia mnaona wanawaboa,unategemea hela za kuendeshea mtandao na kesi za kila Siku zinazofunguliwa zitatoka wapi,vumilia tu kuunga mkono wadhamini wetu!
Hilo nalo neno.Mleta uzi hajakataa tangazo.Yeye anasema kwenye screen linadispaly full kioo.
wangelipunguza liwe dogo basi, maana linazingua linaziba kioo chote!
 
mkuu The Certified umejitahidi kumwelekeza lakini njia uliyotumiwa kumwelekeza siiungi mkono kabisa, labda nikwambie sio wote tunajua hicho unachokijua wewe, tumia busara na lugha nyepesi isiyojaa dharau na kebehi, na kama unaona thread ya mwenzako ni ya kijinga ni vizuri kukaa kimya usipoteze muda wako kuifwatilia, unaambiwa docter ni mjinga kwa mhasibu, naye mhasibu ni mjinga kwa docter,
unaweza kuamini jf hatulipii ila kumbuka bila sisi jf haiwezi kuendesha mambo yake. tigo kuleta tangazo humu si kwa sababu wanafahamiana na max, ila ni kwa sababu ni mtandao wenye watembeleaji wengi zaidi. laiti kama jf ingekuwa na watu wachache sidhani kama hao tigo wangeleta hilo tangazo. tambua kila mtu ana mchango wa kipeke kuwa humu ndani na ana uhuru wa kuanzisha thread yoyote ili mradi anazingatia sheria na maadili ya jamii.

Nikirudi kwa mtoa mada Safari Safi nachoelewa ni kwamba hayo matangazo huja kwa kutegemea kifaa na browser unayotumia, kwa uzoefu wangu nimebaini opera mini browser inaweza kuwa soln

Sijakuelewa kabisa na maneno yako mkuu labda tumia njia mpya Asante
 
Mnatumia jf hamlipii hata 100,hao wanaolipia mnaona wanawaboa,unategemea hela za kuendeshea mtandao na kesi za kila Siku zinazofunguliwa zitatoka wapi,vumilia tu kuunga mkono wadhamini wetu!
haya bana, ila nimetoa tu maoni ya kuli minimize!

Kumbuka lipo la JF la Tushirikishane liko poa kabisa wala halina usumbufu!
 
mkuu The Certified umejitahidi kumwelekeza lakini njia uliyotumiwa kumwelekeza siiungi mkono kabisa, labda nikwambie sio wote tunajua hicho unachokijua wewe, tumia busara na lugha nyepesi isiyojaa dharau na kebehi, na kama unaona thread ya mwenzako ni ya kijinga ni vizuri kukaa kimya usipoteze muda wako kuifwatilia, unaambiwa docter ni mjinga kwa mhasibu, naye mhasibu ni mjinga kwa docter,
unaweza kuamini jf hatulipii ila kumbuka bila sisi jf haiwezi kuendesha mambo yake. tigo kuleta tangazo humu si kwa sababu wanafahamiana na max, ila ni kwa sababu ni mtandao wenye watembeleaji wengi zaidi. laiti kama jf ingekuwa na watu wachache sidhani kama hao tigo wangeleta hilo tangazo. tambua kila mtu ana mchango wa kipeke kuwa humu ndani na ana uhuru wa kuanzisha thread yoyote ili mradi anazingatia sheria na maadili ya jamii.

Nikirudi kwa mtoa mada Safari Safi nachoelewa ni kwamba hayo matangazo huja kwa kutegemea kifaa na browser unayotumia, kwa uzoefu wangu nimebaini opera mini browser inaweza kuwa soln
sante, ila natumia Application ya JamiiForums yenyewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom