Maguge Maguge
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 2,734
- 1,778
tena!kweli wamekusikia saivi wameweka zantel
wangelipunguza liwe dogo basi, maana linazingua linaziba kioo chote!linawaingizia hela hata kama ungekua wewe usingekataa hela
we hujaliona kweli?Tumia App ya Jf
Usumbufu huo hakuna
Kwangu sijaliona!we hujaliona kweli?
mbona linakuja tu hata kama unatumia app?
Lete kibiriti na petroli fastaWapendwa ktk JF,
kila nikifungua ukurasa, hili tangazo linatokea, kibaya zaidi linajaa screen nzima ya simu, kitu ambacho inabidi nihamishe wazo langu kuelekea kuliondoa kwanza,
mi naona bora wangeliunguza lisiwe linajaa kioo cha simu, labda ka kimeo kangu, sijui nyie!
Acha uchoyo toa hapa hapa humu tunaishi ki-great thinkerNjoo PM nikupe ka-softwarw ka bure kabisa unapachika kwenye android phone yako au hata window, matangazo yooote kwishney, hata YouTube kule video yako inastream bila tangazo lolote LA biashara.
mkuu unapenda kutumia huduma bure na matangazo pia hupendi.Njoo PM nikupe ka-softwarw ka bure kabisa unapachika kwenye android phone yako au hata window, matangazo yooote kwishney, hata YouTube kule video yako inastream bila tangazo lolote LA biashara.
inalo na ndo natumia hiyo jf appapp haina tangazo hilo..