Mama Obama
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 1,621
- 1,087
Rais Wa Chama Cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Tundu Lissu amesema Chama hicho kwa Azimio La Baraza La Uongozi Wake, Kitamfikisha Mahakamani Mkuu wa Mkoa wa DSM, Paul Makonda kwa kosa la kuvamia Clouds Media Group.
Pia TLS Imeahidi kushughulikia suala La Fao La Kujitoa.
Ameyasema hayo leo mkoani Dodoma alipokuwa anaongea na Waandishi wa Habari.
View attachment 503096
View attachment 503097
Hii itakuwa test ya uhuru wa mahakama na sheria. Tunangoja itakuwaje.