Tanganyika haihitaji Zanzibar na haiitegemei kwa chochote

Yeye ni mwanakijiji inapaswa apewe wilaya ya vijijini ndani ndani sana huko mpakani mwa congo au Zambia au Burundi na Rwanda
 
Cheo gani kimebaki unataka apewe? Mshauri magufuli amteue kuwa balozi wa Tanzania kule Somalia.
Sidhani kama Mzee Mwanakijiji anahitaji cheo chochote zaidi ya kuipenda nchi yake kwa moyo wake wote. Pamoja na kuishi nje ya nchi amekuwa akifuatilia na kutoa mchango wake mkubwa kwa maslahi mapana ya taifa letu.
 
Ni ukweli Tanganyika hawahitaji Znz. Kiuchumi Tanganyika kwa sasa wanajikokota, Znz ipo hoi bin taaban. Hakuna chochote wapatacho . Lakini cha kujiuliza ni nini ?
Inaweza kuwa tanganyika wanaiona znz kama sehemu yao. Hivyo wanavumilia na kuibana mpaka itaoosalim amri iwe serikali moja
Inawezekana ni sababu alozitaja Lukuvi ambazo kila mtu anazijua
Inawezekana hii si amri ya tanganyika ila mataifa makubwa kuilazimisha kuikalia koo znz kwa sababu za dini.
Inawezekana uchoyo wa kutotaka kuiona znz inaendelea zaidi ikiwa pekee
Lakini pia jambo moja kubwa inaezekana kuwepo znz katika muungano kuna ficha uwakilishi wa waislam serikalini. Bila ya wao kuwamo ni kama hakuna wabunge wala mawaziri..
Ni mada nzuri kujadili mbali ya uchokozi wa mleta mada..lakini tanganyika ukweli haifaidiki chochote, zaidi ya gharama ya. Kuilinda na kuweka watawala watakao sababu ambazo hata zimesababisha misaada kunyimwa...
 
Yaani nguvu yote na gharama inayotumia Tanganyika halafu wewe mzee unasema eti aihitaji kweli" Hivi kweli hujui ama hutaki kujua? Hivi ni nani hasa kati ya bara na Zanzibar anayetaka zaidi uwepo wa huu muungano?
Naona ni Bara, Majority ya wazanzibari hatuutaki maana hauna faida na sisi Zaidi ya kutukandamiza na kutuweka chini ya mkoloni mweusi.
 
Ni ukweli Tanganyika hawahitaji Znz. Kiuchumi Tanganyika kwa sasa wanajikokota, Znz ipo hoi bin taaban. Hakuna chochote wapatacho . Lakini cha kujiuliza ni nini ?
Inaweza kuwa tanganyika wanaiona znz kama sehemu yao. Hivyo wanavumilia na kuibana mpaka itaoosalim amri iwe serikali moja
Inawezekana ni sababu alozitaja Lukuvi ambazo kila mtu anazijua
Inawezekana hii si amri ya tanganyika ila mataifa makubwa kuilazimisha kuikalia koo znz kwa sababu za dini.
Inawezekana uchoyo wa kutotaka kuiona znz inaendelea zaidi ikiwa pekee
Lakini pia jambo moja kubwa inaezekana kuwepo znz katika muungano kuna ficha uwakilishi wa waislam serikalini. Bila ya wao kuwamo ni kama hakuna wabunge wala mawaziri..
Ni mada nzuri kujadili mbali ya uchokozi wa mleta mada..lakini tanganyika ukweli haifaidiki chochote, zaidi ya gharama ya. Kuilinda na kuweka watawala watakao sababu ambazo hata zimesababisha misaada kunyimwa...
Kama hamna faida yeyote si waiachie? yani shida tupu wa Tanganyika wametukaa kifuani hata kupumua hatuwezi, kweli hawafaidiki kabisaaa na watuachilie nchi yetu jamani tumechoka kutawaliwa.
 
2a403c727791449f48b229eb6fcaba17.jpg
Dine and wine (pepsi)
 
kin
Ngoja tumwage mboga ya Mkuu wa Wilaya mtarajiwa. Kuna thread aliiandika, ilikuwa na maneno makali ya kuvunja Muungano
Wapigania uhuru wa Zanzibar waungwe mkono!
kinacho fanyika hapa! zanzibar innataka kutengana na tanganyika wakati huo kisiwani pemba hawaelewani na kisiwani unguja! ok pemba watasema manajitenga lakini bado ndani ya pemba kuna ubaguzi wa rangi! sasa mkitaka jipima kuwa hakili zenu hazina hakili mnapo fikia mwazo ya kutaka kualibu Muungano! mnapendda violence sijui mnashida gani!
 
Kaka ungeenda kujifundisha kuandika/ kusema kiswahili kwanza. (Hakili? Kualibu?)
 
Back
Top Bottom