Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,380
📌📌 WAZIRI AWESO AMTHIBITISHIA MWENEZI MAKONDA KUWA CHANGAMOTO YA MAJI MUHEZA INAKWENDA KUISHA HIVI KARIBUNI
Waziri wa Maji Ndugu. Juma Aweso amthibitishia Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda kuwa Serikali kupitia Wizara ya Maji anayoiongoza wamechukua hatua ya kutumia Tsh Bilioni 3 iliyotumika kutoa maji yanayotola mto zigi kuyaleta hadi Muheza na haja ya pili ni kufikisha mradi mkubwa wa miji 28 ili kupata maji safi na salama kuondokana na changamoto ya ukosefu wa maji.
Waziri Aweso amethibitisha hilo mara baada ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa , Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda kumtaka aeleze ni hatua gani kama Wizara wanazozifanya ili kuondokana na changamoto ya ukosefu wa maji safi na salama, swali ambalo alimuuliza mbele ya Wananchi wa Muheza alipozungumza nao kwenye mkutano wa hadhara ulifanyika leo tarehe 21 Januari, 2024.
#CCMKazini
#VitendoVinaSauti
#KaziIendelee