upupu255
Member
- Sep 4, 2024
- 89
- 132
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga, Husna Sekiboko amewataka Wanakilindi na Wanatanga kwa ujumla kujitokeza kwa wingi kumpokea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan, anayetarajia kuanza ziara mkoani hapa tarehe 23 Februari, 2025.
Akizungumza katika ziara yake aliyoifanya wilayani Kilindi na maeneo mengine, alisema kuwa ikiwa wananchi watajitokeza kwa wingi, itakuwa ni njia mojawapo ya kupata suluhu ya matatizo na changamoto zao
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Sekiboko, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kudumu wa Bunge la Elimu, Utamaduni na Michezo, alisema Rais Samia ni suluhu ya matatizo.