si bora huko wanakata mara moja huku kimara wanakata umeme baada ya lisaa wanaurudisha wanakata tena wanarudisha yaani wamefanya kama kamchezo nahisi kuna mtoto watakua wamemuachia achezee umeme … tanesco acheni huo utoto mnatuunguzia vitu vyetu siku ya 3 leo mnafanya huo mchezo