TANESCO imeisamehe Zanzibar deni la umeme la bilioni 60

Maharage chande amesema mjadala umefikia mwisho kuwa Zanzibar isamehewe deni ili waanze upya kwa tariff mpya pia .

Kwa taarifa za ndani za uhakika ni kuwa maagizo kutoka ikulu ya Dodoma ndio imemtaka afute deni hilo akipewa January wakiwa ndani ya ndege wakitokea Uganda na mama

Huku wabara wakiendelea kukamuliwa na tozo wenzao huko bara mwendo mdundo

USSR
upendeleo sio lazma ujenge airport kijijini kwenu
 
Hivi deni likisamehewa,lazima kutakuwa na mtu analilipa.. maanake either utozeshe kodi mpya (umeme unaongezwa bei ) au ukope ufidie, serikali iingie deni jingine na taasisi za kifedha (deni la taifa linaongezeka)..

Anyway kama sisi tunavyoomba tozo zifutwe, Zanzibar wana haki, hii serikali na wizara ni za muungano sio ya waTanganyika.
 
Huu ni uhujumu uchumi, kwa sababu uwezo wa kulipa hizo pesa upo lakini kwa kua dada yao ndio kashikishwa kijiti basi anafanya atakalo, kama wame shindwa kulipa hilo deni tanesko Wana uhakika gani kwamba watalipwa bili mpya itakayo tolewa? Kwani kule kwa waarabu koko wanatumia umeme bure? Kama wana nunua luku hiyo pesa inakwenda wapi? 🤔🤔Hivi huu upambavu utakwisha lini lakini, alafu na yeye eti anahubiri maendeleo kwa upumbavu kama huu 😡😡😡😡
 
Maharage chande amesema mjadala umefikia mwisho kuwa Zanzibar isamehewe deni ili waanze upya kwa tariff mpya pia .

Kwa taarifa za ndani za uhakika ni kuwa maagizo kutoka ikulu ya Dodoma ndio imemtaka afute deni hilo akipewa January wakiwa ndani ya ndege wakitokea Uganda na mama

Huku wabara wakiendelea kukamuliwa na tozo wenzao huko bara mwendo mdundo

USSR
Nani kama MAMAAA NANI KAMA MAAA.
Matanganyika mengi ni mazuzu. Na wakati huu Marais wote kutoka nchi za kigeni heheeee hakuna mwenye uchungu wanavuna hadi visivyo komaa wanapeleka kwao.
Tuliosoma HISTORY ADVANCE TANGANYIKA kwa sasa ndio ile Africa ambayo BAZUNGU walikuwa wanakuja kipindi cha MERCANTILISM, ktk stage ya Prundering wakijibea kila kitu watakacho shamba la bibi.
Kama saa hizi imejazana Uwanjani kuangalia mpira wa Yanga huku ma majizi ya ccm yanafilisi nchi hayana habari.
Ndugai alibaelezea ninyi ma Zuzu nchi mtakuja mstuke imepigwa mnada lakini misukule kazi yao kubishana tuu Simba Yanga
 
JPM alishusha bei ya kuunganisha umeme ili kila kujiji kipate umeme. Ulikuwa mpango mahsusi ambayo nchi nyingi zimefanya, ukianza na Marekani ili kuhakikisha vijiji vinapata umeme. Leo wameongeza bei ya kuunganisha umeme huku wakisameheana mabilioni!!!?
Bei ya kuunganishwa umeme Zanzibar ni Tz 27,000 tu. Na Mzanzibar akichelewa kulipa bili ya TANESCO wanamfutia deni!!
Du
 
Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Maharage Chande amesema mjadala umefikia mwisho kuwa Zanzibar isamehewe deni ili waanze upya kwa “tariff” mpya pia.

Kwa taarifa za ndani za uhakika ni kuwa maagizo kutoka ikulu ya Dodoma kupitia Waziri January ndiyo yamepelekea afute deni hilo. Maagizo hayo alipewa January wakiwa ndani ya ndege wakitokea Uganda na mama.

Huku wabara wakiendelea kukamuliwa na tozo, wenzao huko Zanzibar mwendo mdundo.

USSR
Ila Bara kuunganishiwa umeme kwa 27000 ni hasara kwa TANESCO.
 
Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Maharage Chande amesema mjadala umefikia mwisho kuwa Zanzibar isamehewe deni ili waanze upya kwa “tariff” mpya pia.

Kwa taarifa za ndani za uhakika ni kuwa maagizo kutoka ikulu ya Dodoma kupitia Waziri January ndiyo yamepelekea afute deni hilo. Maagizo hayo alipewa January wakiwa ndani ya ndege wakitokea Uganda na mama.

Huku wabara wakiendelea kukamuliwa na tozo, wenzao huko Zanzibar mwendo mdundo.

USSR
Kwanini tunawabeba sana hawa wala urojo?
 
Amesema haya neno wapi na lini?
 
Back
Top Bottom