Bubu Msemaovyo
JF-Expert Member
- May 9, 2007
- 4,134
- 3,488
Nimepiga simu Tanesco kwa namba yao mpya namba 180 ambayo walisema ni bure. Lakini cha ajabu imekata muda wangu wa maongezi. Tusifike mahala tukawaita majina mabaya kuweni realistic. Asante sana