Tena wanampenda sana.Kuna mgombea wao anaitwa Donald Trump. Simuelewagi sana na siasa zake za kibabe. Sijui hiyo ni demokrasia gani
Subiri uone makato ya REA kwenye malipo ya Luku muda si mrefu utakuja unalia hapaHakuna cha kuongeza kodi hapa, fanyeni kazi kwa bidii, na kusanyeni mapato ya kodi zilizopo.
Kinyume cha MCC ni CCM, ni dhahiri taasisi hizi mbili ni tofauti kabisa, moja ipo kwa ajili ya demokrasia na uhuru wa maoni nyingine ipo kwa ajili ya kuinajisi demokrasia, ndiyo maana sisi wote hata tusio na vyama tunasuffer consequence za dhulma iliyofanyika Zanzibar
Mawazo yako haya ya kijinga Wa-Libya,Wa-iraki, Wa-Misri wasiyasikie.Kinyume cha MCC ni CCM, ni dhahiri taasisi hizi mbili ni tofauti kabisa, moja ipo kwa ajili ya demokrasia na uhuru wa maoni nyingine ipo kwa ajili ya kuinajisi demokrasia, ndiyo maana sisi wote hata tusio na vyama tunasuffer consequence za dhulma iliyofanyika Zanzibar
Najaribu kulima sana mkuu lkn kila nikija kuvuna naambulia gunia sita/saba mvua tena hapo ndiyo nimepata sana sasa hivi niko kwenye mpango wa kuuza hii ardhiKwani inakuhusu? Mimi kazi yangu unataka ya nini? Wewe fanya kazi kwa bidii huko unakofanya kazi, na mimi nitafanya kazi kwa bidii huku kazini kwangu. Kwa hiyo kila mtu afanye kazi kwa bidii,. Kama ni mwanajeshi afanye kazi kwa bidii, mwalimu naye afanye kazi kwa bidii, mkulima naye afanye kazi kwa bidii, mtu wa TISS afanye kazi kwa bidii, house girl naye afanye kazi kwa bidii, mkusanya kodi naye afanye kazi kwa bidii, na kadhalika na kadhalika. Lakini majambazi na mafisadi, hapana, za kwao siyo kazi halali.
Kuna mgombea wao anaitwa Dr. Shein. Simuelewagi sana na siasa zake za kibabe. Sijui hiyo ni demokrasia ganiKuna mgombea wao anaitwa Donald Trump. Simuelewagi sana na siasa zake za kibabe. Sijui hiyo ni demokrasia gani
Kwahali ya kisiasa ilivo sasa Tz ni bora kuheshimu wazungu kwasababu wanaonesha kushirikiana na sisi wananchi katika kupigania maslahi mapana ya nchi yetu kuliko magamba yanavo tudhulumu haki zetu.Mheshimu mama na baba yako upate miaka mingi na heri duniani, achana na kuabudu Wazungu, ni Upumbavu, ujinga na ulofa kudhani , HERI ya watanzania iko mikononi mwa Wanyonyaji hao
Najaribu kulima sana mkuu lkn kila nikija kuvuna naambulia gunia sita/saba mvua tena hapo ndiyo nimepata sana sasa hivi niko kwenye mpango wa kuuza hii ardhi
Leo ndo wanaanza kushirikiana nanyi baada ya kuona Magufuli hawapigii Magoti? Mtaisoma namba, Tanzania sasa itakuwa kama ya Robert Mgabe. Mugabe na wananchi, Tshvangirae na Wazungu. Wanyonge na Magufuli, Ukawa na MCC.Kwahali ya kisiasa ilivo sasa Tz ni bora kuheshimu wazungu kwasababu wanaonesha kushirikiana na sisi wananchi katika kupigania maslahi mapana ya nchi yetu kuliko magamba yanavo tudhulumu haki zetu.
Kwa mara ya Kwanza tumepata rais anayewakamata Wanyonyaji kutoka ndani na nje ya nchi. Magufuli go go go go.Haaaah, pole Ndugu yangu, jitahidi zaidi na uombe ushauri kwa wataalamu, lakini usiwakumbatie hawa wazungu kwani wanafiki wakubwa na walaghai. Wanadai demokrasia mbona kwao hawana demokrasi ya dhati?
Wataalamu wanataka hela na wengine ndiyo hawahawa wazungu waliokuja nchini na wamepewa vibali na serikali na wanatoa misaada sasa nitawakataaje mkuu,?Haaaah, pole Ndugu yangu, jitahidi zaidi na uombe ushauri kwa wataalamu, lakini usiwakumbatie hawa wazungu kwani wanafiki wakubwa na walaghai. Wanadai demokrasia mbona kwao hawana demokrasi ya dhati?
Marekani hujui Mbinu zake wewe? Huwa anaingia Sehemu Mpaka aone je? Wananchi husika Wapo Tayari Kufanya Mapinduzi Angalia Libya,Sylia,Nk Hana Rafiki wa Kudumu Na Adui Jifunze kwa CubaKama huelewi hao MCC ndiyo waminyaji wakubwa wa demokrasia. Waambie wakatishe pia misaada kwenye nchi za kiarabu kama Saudia Arabia ambako hakuna demokrasia kabisa na wanawake hawaruhsiwi kupiga kura wala kuendesha gari. Hivi kule Misri yule jenerali sijui anaitwa SISI alimfunga yule Rais wa awali je, Marekani ilisitisha misaada. Acheni, hizo, Marekani hakuna cha demokrasia pale.
Well said !!! Najiuliza kitu kwani marehemu gadaffi alikua anategemea hiyo misaada ya mcc na kama jibu sio mbona wananchi walikua na maisha bomba tuu kuna kitu behind mara nyingi manuver ya u s a yanaanza akishaona hana influence katika nchi fulani na hapana shaka wasitoe hiyo misaada maana wao ndo chanzo cha umaskini no kuwalilia hapa shitmimi nadhani kuna jambo zito Marekani ameliona kuliko hata huo uchaguzi wa zanzibar,,,,kuna fursa ameona anazikosa...JPM endelea kukaza baba ikibidi tutakula hata nyasi....hakunaga msaada wa bure hata iyo barabara ya Namtumbo Songea waliiba sana madini yetu pande ile
Serikali ndio itaisoma namba maana mipango waliyopanga kuhusu miradi mbalimbali itakwama kusonga mbele kwa wakati kutokana na upungufu wa hela uliojitokeza sababu tu ya ubabe wenu wa kisiasaLeo ndo wanaanza kushirikiana nanyi baada ya kuona Magufuli hawapigii Magoti? Mtaisoma namba, Tanzania sasa itakuwa kama ya Robert Mgabe. Mugabe na wananchi, Tshvangirae na Wazungu. Wanyonge na Magufuli, Ukawa na MCC.
tunashangilia jinsi wananchi watakavoichukia serikali na ccm yake kutokana na maisha magumuSawa UKAWA shangilieni maana watakao athirika na kusitishwa kwa misaada hiyo ni wana CCM pekee.