TAMKO CUF: China msiwe adui wa demokrasia Tanzania kwa maslahi yenu

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
01 April 2016

CHINA MSIWE ADUI WA DEMOKRASIA TANZANIA KWA MASLAHI YENU

Nchi ya China jana kupitia balozi wake Dk.Lu Youqing alipokuwa anazungumza na waziri wa nchi ofisi ya makamu wa Raisi Muungano na mazingira January Makamba alikaririwa na vyombo vya habari akisema China inaamini uchaguzi uliofanyika hivi karibuni Zanzibar ulikuwa huru na haki.

Chama cha wanachi CUF tunaelewa kwamba kwa nchi yeyote inayofahamu Demokrasia, Uhuru na Haki ni nini hawezi kuasema uchaguzi wa marudio Zanzibar ni wa huru na haki. Ama kama nchi hiyo itaamini kwa haki na uhuru huo wa ZEC ya Jecha basi nchi hiyo sana ya Kidemokrasia nchini mwake. CUF hatuamini kwamba China haijui demokrasia ikoje ila wanahalalisha uchaguzi haramu wa Marudio Zanzibar kwa sababu ya maslahi yao ya kiuchumi kwa raia wa China nchini Tanzania na huko kwao China.

Chama kikongwe kinachotawala China CCP na kile chama tawala Tanzania CCM wamekuwa na uswahba wa muda mrefu.

Uswahiba huu umefanya China kuwa kipofu kuhusu mambo mbalimbali ya ukiukwaji wa haki za binnadamu na ukiukwaji wa demokrasia wakihofia kuharibu uswahiba wao na CCM.

Uswahiba ambao unamaslahi zaidi kwa China kuliko Tanzania, ndio maana
wako tayari kuhalalisha haramu kuwa halali.

China inaamua kuunga mkono kukandamizwa kwa demokrasia nchini Tanzania ili kujikomba kwa serikali ya CCM waendelee kupata hisani zaidi kwa masalhi ya taifa lao bila kujali CCM kwa kiasi gani inakuwa katili kwa
watanzania.

Tumekuwa tukijaribu kuchunguza baadhi ya mambo ambayo yakihusisha
wachina hapa nchini na kutilia shaka sana urafiki wa China wa Tanzania labda ni wakinafiki zaidi na kudalali maliasili za watanzania.

China inapata tenda kubwa za ujenzi nchini Tanzania mfano ujenzi wa barabara ambazo nyingine zishaanza kuharibika,madaraja na majengo makubwa nchini.Hata mradi wa kusafirisha gesi wamo pia.

Tanzania kumekuwa na ongezeko la wachina wakifanya biashara
zainazofanywa na watazania kama vile kuuza maua kariakoo,yeboye bo na sehemu mblimbali nchini.

Jambo hili limekuwa likitia wasiwasi sana hasa ukiuliza hawa ndio wawekezaji waliokuja kuuza maua na yeboyebo.

Swali hili serikali imekuwa ikishikwa nakigugumizi namna ya kujibu.

Tanzania inakabiliwa na changamoto kubwa ya mauajia ya tembo .

Changamoto ambayo raia wa China wamekuwa wakishukiwa kuhusika.

Mfano Novemba 2013 maeneo ya Mikocheni Dar es Salaam, wachina watatu walikamatwa na vipande mia saba 700 vya meno ya tembo.
Tanzania inakabiliwa na chanagamoto ya bidhaa feki kutoka China. CUF tumekuwa tukihoji ni kwa nini serikali imeshindwa kuzuia bidhaa hizi
feki kutoka China a mpaka leo hii bado zipo na zinaadhiri uchumi.

Chombo cha kudhibiti ubora wa bidhaa nchini TBS kipo na bidhaa feki kutoka China zipo.

Raia kutoka china wamekuwa wakiongezeka sana nchini na mara kadhaa baadhi yao wamekuwa wakikamatwa kwa kuishi nchini bila kufuata utaratibu.

Chama cha wananchi CUF tunaionya sana China iache siasa kufumbia macho ukiukwaji wa demokrasia nchini kwa maslahi yao na kuitumia Tanzania kujinufasha na rasilimali zilizopo bila kujali amani itakapovunjika hapo baadae.

Pia tunaitaka serikali kwa makini sana iangaliae mahusiano na misaada inayotolewa na China inamalengo gani yaliyofichika kwa Taifa letu.

HAKI SAWA KWA WOTE
Mh.Abdalah Mtolea( MB)
Naibu Mkurugenzi wa Mambo ya
Nje CUF Taifa
075881111.
Na sasa wametuletea samaki feki wa kutengeneza kiwandani baada ya kufanikiwa kutulisha mayai feki.
 
Mwandishi kwanza bidhaa feki ndio bidhaa gani? ingefaa ku define. eti wachina ndio wanafaidi,.. na hiyo mikopa ya riba sifuri na grants kibao toka china sio kitu? mwandishi angetumia akili zaidi sio kukurupuka kwa hoja za bei rahisi. cuf kazi yao kutafuta hoja za kufanya siasa ndio maana hawaishi kususa pale wakiona wamebanwa hila zao.
 
Tanchania .subirini kidogo tutaanza kulabugali kwa kutumia vijiti vya kichina .marekani na ulaya wakiondoa misaada tunananuna na kusema misaada haisaidii tutajitegemea wenyewe

Lakini machina yakitoa tunacheka na kuruka na kukanyagana na tunasema misaada ya china mizuri

Bora tuwe wakweli kwamba sisi ni manafiki
 
Najuta kuzaliwa nchi yenye wajinga wengi
Hama pumbu mmoja. Hata sisi tunajuta kuwa na mpumbavu kama wewe katika nchi yetu. Fankuuuro
IMG-20160401-WA0013.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom