Huu ndio ukweliTigo haijawahi kuwa na wateja wengi kuishinda Vodacom
oya, mbona mnachangia bila kusoma jedwali la data. someni kwanza jedwali alilo ambatanisha, au mnatumia simu za tochi? haaa
Owner ana roho mbaya kshenzKwangu mimi habari kubwa ni kampuni hiyo ya serikali (TTCL) kuendelea kushika mkia. Tatizo ni nini?
Mnakuja wapi? Vifurushi vizuri lakuni internet yenu ni mbovu sijawahi ona hata uwe mjini ni kero tu, labda kama mmebase dar peke yake, mikoa mingine ni majanga. Nimeshatupa line.Halotel tunakuja
Ebu leta siri hiyo watu wahamieKwa namna ya pekee nimewapenda TTCL
nacheka na TAFITI ZA KIBONGO ; WATANZANIA TUPO MILIONI 35; LAKINI LINE ZA SIMU ZIMETUZIDI??Wakuu,
Namba hazidanganyi. Siku za nyuma tulizoea kuona mtandao wa Mobitel/Buzz/tiGO ukiwa mbele kwa idadi ya subscribers lakini siku za hivi karibuni hali imekuwa tofauti kabisa.
Kwa mujibu wa TCRA, hali inaonekana kuwa si nzuri kwa wateja wa mtandao huo imeshuka tofauti na Wenzao Vodacom ambao wanaonekana kufanya vyema upande huu.
Je, ni mdororo wa kiuchumi?
Je, ni mabadiliko ya kiteknolojia na usikivu wa mawasiliano?
Je, ni huduma mbovu zinazopelekea wateja kuhamia mitandao mingine wakitafuta kilicho bora?
Je, siku za nyuma walikuwa wakidanganya juu ya idadi ya subscribers wao na sasa wanalazimika kutoa figure sahihi?
Au ni gharama kupanda na kupelekea wateja kuukimbia mtandao?
Wakuu,

Wanafunzi tushahamia voda maans wametukatili kwenye muda was maongezi university offerukiona hivyo ujue wateja wao by then wanafunzi either wamerudi kijijini kulima kwa kukosa ajira mjimi kumbuka huu ni mtandao pendwa kwa wanafunzi wa vyuo