Mlaleo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 14,709
- 11,747
Kifuatacho ITV Mkulu azipe life time hizi kampuni zingine at list two year and then afute leseni kampuni za simu za nje ili TTCL ifufuke...
Maana inatia aibu sana kwa kukosa ubunifu... Uber wamekuja majuzi wamegawa hand set kwa ma user wake ikikaa kwa mwaka mmoja kipato chake kitaizidi TTCL so why TTCL wasiwe wabunifu?