TAKUKURU wanamgwaya Tundu Lissu kumuhoji kuhusu rushwa ya Abdul

Hapa si mahali pake! Nenda kanunue Penal code ujisomee na kama mvivu wa kusoma nenda kamuulize mwanasheria wako!
 
Hapa si mahali pake! Nenda kanunue Penal code ujisomee na kama mvivu wa kusoma nenda kamuulize mwanasheria wako!
Najua ulijisemea tu na ndiyo maana unashindwa kuweka hicho kifungu. Kipi ni simple, kuandika yote hayo uliyoandika au kuweka hicho kifungu cha sheria? Any claim must be justified!
 
Najua ulijisemea tu na ndiyo maana unashindwa kuweka hicho kifungu. Kipi ni simple, kuandika yote hayo uliyoandika au kuweka hicho kifungu cha sheria? Any claim must be justified!
Katika wapumbavu wewe ni nambari one! Hapa tunajadili hoja vifungu vya sheria katafute mahakamani!
 
hv ni kweli TAKUKURU wanamgwaya Lissu?
kumbuka mtoa rushwa mtoto wa raisi nani atathubutu kuendelea kuhoji hayo mambo!!!
 
Katika wapumbavu wewe ni nambari one! Hapa tunajadili hoja vifungu vya sheria katafute mahakamani!
In psychology this is called "projection" - the problem you have you pretend as if it's not yours, but somebody else's. In logic, it's just errenous reasoning (fallacy).
 
Kama anayoyaongea TUNDU LISSU ni ya "uongo" kwanini unadiriki kumtuma Kijana wako aende "kumpoza"Lissu kwa Mabulungutu?!.

Hili ndio swali linaloniumiza kichwa na kuninyima usingizi.
 
Hajasema wamshtaki bali wamhoji ili kumjua huyo mtoa rushwa
 
Alimtaja nimekuwekea video chini

Kwa nn takukuru hawamuhoji, ipo hivi kwenye 4R z raisi Kuna ustahimilivu na mambo ya kisiasa humalizwa kisiasa. Atajibiwa majukwaani na sio kujibiwa na takukuru

View: https://www.youtube.com/watch?v=hNxbIjexDiE
 
Jibu lako lipo #49, umemfahamu mama Abdul sasa wewe mbwa?
 
Wataanzia wapi? Wakigeuka huku moto wa gas wakigeukia huku makaa ya mawe
 
Kwani unadhani wenyewe ni wehu kutokuongea au kufanya chochote kile huo ni mtego kwa sababu wakimuhoji tuu na kama hizo tuhuma ni za kweli mama abduli atakua amekaangwa kwa mafuta ya mwanae
 
Upo sahihi kabsa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…