TAKUKURU wanamgwaya Tundu Lissu kumuhoji kuhusu rushwa ya Abdul

Nilichosema si procedure ya uendeshaji wa kesi mahakamani, ni njia aliyotumia huyo mwanasayansi na mwanafalsafa, na ambayo hata mimi ninayotumia, kujiridhisha nisije nikadanganywa au kudanganyika. Mimi nimekuomba kifungu cha sheria au sheria ya hapa kwetu inayosema hivyo ulivyodai.
Hapa si mahali pake! Nenda kanunue Penal code ujisomee na kama mvivu wa kusoma nenda kamuulize mwanasheria wako!
 
Najua ulijisemea tu na ndiyo maana unashindwa kuweka hicho kifungu. Kipi ni simple, kuandika yote hayo uliyoandika au kuweka hicho kifungu cha sheria? Any claim must be justified!
 
Katika wapumbavu wewe ni nambari one! Hapa tunajadili hoja vifungu vya sheria katafute mahakamani!
 
Mara kadhaa Makamu Mwenyekiti wa Chadema amedai mtoto wa Rais Samia aitwai Abdul alikwenda nyumbani kwake akiwa na kiongozi wa mmoja wa Chadema kwa ajili ya kumpa rushwa ili alegeze misimamo yake dhidi ya serikali.

Tundu Lissu hakuishia hapo bali amesema Abdul alimweleza kuwa amekwisha gawa rushwa kwa viongozi wengine kadhaa wa Chadema kwa hiyo yeye hatakuwa wa kwanza! Lissu ameweka wazi kuwa rushwa aliyotaka kupewa ni kununuliwa gari.

Pamoja na maelezo yote haya TAKUKURU wamekaa kimya bila kuchukua ya kumuhoji. Je hawajasikia? Na kama wamesikia wanasubiri nini kupata ukweli zaidi na kuchukua hatua za kisheria?
hv ni kweli TAKUKURU wanamgwaya Lissu?
kumbuka mtoa rushwa mtoto wa raisi nani atathubutu kuendelea kuhoji hayo mambo!!!
 
Katika wapumbavu wewe ni nambari one! Hapa tunajadili hoja vifungu vya sheria katafute mahakamani!
In psychology this is called "projection" - the problem you have you pretend as if it's not yours, but somebody else's. In logic, it's just errenous reasoning (fallacy).
 
Kama anayoyaongea TUNDU LISSU ni ya "uongo" kwanini unadiriki kumtuma Kijana wako aende "kumpoza"Lissu kwa Mabulungutu?!.

Hili ndio swali linaloniumiza kichwa na kuninyima usingizi.
 
Kichwa chako hakiko sawa hajawahi tanka kuwa mtoto wa Mama Samia aitwaye Abdul alitaka kumpa rushwa Usimlishe maneno

Yeye husema Abdul alikuja kutaka kunipa Rushwa nikamwambia kamwambie mama Abdul hivi na hivi

Abdul aweza kuwa kibaka yeyote na mama Abdul aweza kuwa hata mama Natalie

Unamshtaki wapi wakati hakufafanua specifically kwa Details huyo Abdul ni nani na mama Abdul ni nani

Takukuru sio mabwege kama wewe
Hajasema wamshtaki bali wamhoji ili kumjua huyo mtoa rushwa
 
Kichwa chako hakiko sawa hajawahi tanka kuwa mtoto wa Mama Samia aitwaye Abdul alitaka kumpa rushwa Usimlishe maneno

Yeye husema Abdul alikuja kutaka kunipa Rushwa nikamwambia kamwambie mama Abdul hivi na hivi

Abdul aweza kuwa kibaka yeyote na mama Abdul aweza kuwa hata mama Natalie

Unamshtaki wapi wakati hakufafanua specifically kwa Details huyo Abdul ni nani na mama Abdul ni nani

Takukuru sio mabwege kama wewe
Alimtaja nimekuwekea video chini

Kwa nn takukuru hawamuhoji, ipo hivi kwenye 4R z raisi Kuna ustahimilivu na mambo ya kisiasa humalizwa kisiasa. Atajibiwa majukwaani na sio kujibiwa na takukuru

View: https://www.youtube.com/watch?v=hNxbIjexDiE
 
Kichwa chako hakiko sawa hajawahi tanka kuwa mtoto wa Mama Samia aitwaye Abdul alitaka kumpa rushwa Usimlishe maneno

Yeye husema Abdul alikuja kutaka kunipa Rushwa nikamwambia kamwambie mama Abdul hivi na hivi

Abdul aweza kuwa kibaka yeyote na mama Abdul aweza kuwa hata mama Natalie

Unamshtaki wapi wakati hakufafanua specifically kwa Details huyo Abdul ni nani na mama Abdul ni nani

Takukuru sio mabwege kama wewe
Jibu lako lipo #49, umemfahamu mama Abdul sasa wewe mbwa?
 
Mara kadhaa Makamu Mwenyekiti wa Chadema amedai mtoto wa Rais Samia aitwai Abdul alikwenda nyumbani kwake akiwa na kiongozi wa mmoja wa Chadema kwa ajili ya kumpa rushwa ili alegeze misimamo yake dhidi ya serikali.

Tundu Lissu hakuishia hapo bali amesema Abdul alimweleza kuwa amekwisha gawa rushwa kwa viongozi wengine kadhaa wa Chadema kwa hiyo yeye hatakuwa wa kwanza! Lissu ameweka wazi kuwa rushwa aliyotaka kupewa ni kununuliwa gari.

Pamoja na maelezo yote haya TAKUKURU wamekaa kimya bila kuchukua ya kumuhoji. Je hawajasikia? Na kama wamesikia wanasubiri nini kupata ukweli zaidi na kuchukua hatua za kisheria?
Wataanzia wapi? Wakigeuka huku moto wa gas wakigeukia huku makaa ya mawe
 
Kwani unadhani wenyewe ni wehu kutokuongea au kufanya chochote kile huo ni mtego kwa sababu wakimuhoji tuu na kama hizo tuhuma ni za kweli mama abduli atakua amekaangwa kwa mafuta ya mwanae
 
Kichwa chako hakiko sawa hajawahi tanka kuwa mtoto wa Mama Samia aitwaye Abdul alitaka kumpa rushwa Usimlishe maneno

Yeye husema Abdul alikuja kutaka kunipa Rushwa nikamwambia kamwambie mama Abdul hivi na hivi

Abdul aweza kuwa kibaka yeyote na mama Abdul aweza kuwa hata mama Natalie

Unamshtaki wapi wakati hakufafanua specifically kwa Details huyo Abdul ni nani na mama Abdul ni nani

Takukuru sio mabwege kama wewe
Upo sahihi kabsa....
 
Back
Top Bottom