TAKUKURU wanamgwaya Tundu Lissu kumuhoji kuhusu rushwa ya Abdul

Izia maji

JF-Expert Member
Dec 1, 2021
2,681
4,821
Mara kadhaa Makamu Mwenyekiti wa Chadema amedai mtoto wa Rais Samia aitwai Abdul alikwenda nyumbani kwake akiwa na kiongozi wa mmoja wa Chadema kwa ajili ya kumpa rushwa ili alegeze misimamo yake dhidi ya serikali.

Tundu Lissu hakuishia hapo bali amesema Abdul alimweleza kuwa amekwisha gawa rushwa kwa viongozi wengine kadhaa wa Chadema kwa hiyo yeye hatakuwa wa kwanza! Lissu ameweka wazi kuwa rushwa aliyotaka kupewa ni kununuliwa gari.

Pamoja na maelezo yote haya TAKUKURU wamekaa kimya bila kuchukua ya kumuhoji. Je hawajasikia? Na kama wamesikia wanasubiri nini kupata ukweli zaidi na kuchukua hatua za kisheria?
 
Huu Sasa ni uchokozi wa makusudi, hivi unataka kumvua nguo mfalme??
 
Mara kadhaa Makamu Mwenyekiti wa Chadema amedai mtoto wa Rais Samia aitwai Abdul alikwenda nyumbani kwake akiwa na kiongozi wa mmoja wa Chadema kwa ajili ya kumpa rushwa ili alegeze misimamo yake dhidi ya serikali.
Kichwa chako hakiko sawa hajawahi tanka kuwa mtoto wa Mama Samia aitwaye Abdul alitaka kumpa rushwa Usimlishe maneno

Yeye husema Abdul alikuja kutaka kunipa Rushwa nikamwambia kamwambie mama Abdul hivi na hivi

Abdul aweza kuwa kibaka yeyote na mama Abdul aweza kuwa hata mama Natalie

Unamshtaki wapi wakati hakufafanua specifically kwa Details huyo Abdul ni nani na mama Abdul ni nani

Takukuru sio mabwege kama wewe
 
Kichwa chako hakiko sawa hajawahi tanka kuwa mtoto wa Mama Samia aitwaye Abdul alitaka kumpa rushwa Usimlishe maneno

Yeye husema Abdul alikuja kutaka kunipa Rushwa nikamwambia kamwambie mama Abdul hivi na hivi

Abdul aweza kuwa kibaka yeyote na mams Abdul aweza kuwa hata mama Natalie

Unamdhtaki wapi wakati hskufafanua specifically kwa Details huyo Abdul ni nsni na mama Abdul ni nani

Takukuru sio mabwege kama wewe
Duuh! Ulipata D ngapi au ndiyo ulifuta zote F?
 
Mara kadhaa Makamu Mwenyekiti wa Chadema amedai mtoto wa Rais Samia aitwai Abdul alikwenda nyumbani kwake akiwa na kiongozi wa mmoja wa Chadema kwa ajili ya kumpa rushwa ili alegeze misimamo yake dhidi ya serikali.

Tundu Lissu hakuishia hapo bali amesema Abdul alimweleza kuwa amekwisha gawa rushwa kwa viongozi wengine kadhaa wa Chadema kwa hiyo yeye hatakuwa wa kwanza! Lissu ameweka wazi kuwa rushwa aliyotaka kupewa ni kununuliwa gari.

Pamoja na maelezo yote haya TAKUKURU wamekaa kimya bila kuchukua ya kumuhoji. Je hawajasikia? Na kama wamesikia wanasubiri nini kupata ukweli zaidi na kuchukua hatua za kisheria?
Ukiona choo ndotoni usikutumie, utaaibika. TAKUKURU siyo mafala.
 
Mara kadhaa Makamu Mwenyekiti wa Chadema amedai mtoto wa Rais Samia aitwai Abdul alikwenda nyumbani kwake akiwa na kiongozi wa mmoja wa Chadema kwa ajili ya kumpa rushwa ili alegeze misimamo yake dhidi ya serikali.

Tundu Lissu hakuishia hapo bali amesema Abdul alimweleza kuwa amekwisha gawa rushwa kwa viongozi wengine kadhaa wa Chadema kwa hiyo yeye hatakuwa wa kwanza! Lissu ameweka wazi kuwa rushwa aliyotaka kupewa ni kununuliwa gari.

Pamoja na maelezo yote haya TAKUKURU wamekaa kimya bila kuchukua ya kumuhoji. Je hawajasikia? Na kama wamesikia wanasubiri nini kupata ukweli zaidi na kuchukua hatua za kisheria?
Usiwinde mnyama ambae huwezi kumuua, utakufa wewe.
 
Takukuru hawana ubavu huo wa kumhoji.Maana wanajua mziki wa Tundulisu.Hii rushwa inamhusisha Hadi rais ambapo takukuru hawezi kugusa Kwa sababu huyo wanamchukulia kama mungu wao.Angekuwa ni mlala hoi angeshapigiwa simu kwenda ofisi za Takukuru.Elimu na ujasiri unalipa sana.Huwezi kuonewa na yeyote
 
Sio mziki Lisu anahoja za kitoto akidhani watu wataingia mtego kijinga Anamtaja Abdul bila kufafanua huyo Adul ni nani na huyo mama Abdul ni nani ana utoto wa kisheria akidhani atakamatwa halafu skigika mahakamani aseme kwani mimi nilisema Abdul au mama Abdul yupi wapi nilisema mtoto wa Raisi Mama Samia anashinda kedi halafu anaanza kujitia kutamba ohh nimewabwaga mahakamani

Kesi ya kijinga hiyo nani ampeleke mahakamani hayuko ndio.maana kaachwa aendeleee kubweka ya huyo Abdul na mama.Abdul wake awateke wenye akili ndogo kama mleta mada
 
Mbona umeandika kwa taharuki na kukabwa shingo?😂
 
Back
Top Bottom