TAKUKURU itendeeni haki nchi kwa kuchunguza ubora na gharama za injini na mabehewa ya treni ya SGR

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
22,002
27,061
Tangu treni za DGR zianze kufanya kazi baadhi yetu tuliowahi kuingia ndani ya mabehewa hayo tumekuwa na mashaka ya upya wake, muonekano wa ndani si wa mabehewa mapya ni wa mabehewa ya miaka iliyopita yakizidiwa usasa na mabasi ya safari za mikoani kwa ubora wa viti na sehemu za kuchaji simu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…