Uchaguzi 2020 TAKUKURU Ilala haifanyi kazi zaidi ya kutumiwa vibaya na Jerry Silaa

Chipoku

JF-Expert Member
May 19, 2011
254
181
TAKUKURU Wilaya ya Ilala acheni kutumika vibaya na Jerry Silaa.

Kila mkipigiwa kuhusu habari za huyu mtu mnatujibu vibaya, naye anatamba kama chombo hiki ni chake.

Wiki ya pili sasa anatuamsha Wajumbe wa Mkutano Mkuu Jimbo la Ukonga kati ya saa 5 na 8 usiku akiwa na gari lake na anaongozana na Katibu wa CCM Kata ya Pugu Stesheni anayejulikana kwa jina la AYUBU MSALIKA. Juzi walikuwa Kata ya P.stesheni.

Huyu Ayubu Msalika anagonga mlango na kujitambulisha, ukitoka unakutana na Jerry na watu wawili wanachukua simu bila ridhaa na kuizima kisha anatoa maelezo kuwa naye anaingia kwenye kinyang'anyiro cha ubunge ukonga hivyo abahitaji kuungwa mkono...

Tusichague wageni kwani yeye ndio Mwenyeji wa Jimbo na maneno mengi. Kisha wanaondoka na kesho yake unatumiwa 20,000/= au 10,000/= na huyu Ayubu Msalika.

Ubabe huu pia unafanywa na Chacha Magasi (kesho atakuwa kata ya Chanika ) kwa style ya Jerry.

CCM MLIANGALIE HILI MAANA TAKUKURU ILALA HILI WANALIKUMBATIA., NA MTAFANYA TUWAPE TENA CHADEMA JIMBO KAMA 2015. CCM ILALA, CCM DSM na Mwenezi bingwa H.Polepole CCM tunaamini umakini wako, fuatilia hili linaleta doa Chama na tutapoteza tena jimbo.
 
Acha chuki za kishamba wewe, unaamshwaje kama sio mwana CCM? Inaonekana umetumwa afu una roho ya kichawi, jerry kma ipi ipo tu, 2015 mliwapa upinzan je sasa yupo mpinzani au CCM?
 
Majungu tu!
Waulize takukuru ilala tushawataarifu mara ngapi ? Kisha wanatumia namba 0737168899 kutuambia tutaje watu wengine ?? Hatubahatishi na hatuna mda wa majungu na mtu anayelazimisha ubunge kwa kila stail hadi kupoteza watu. Au ali vyo mlestisha mama ubunge aliyepita pia majungu ???? Tulia wewe ila sio ackson
 
WAULIZE TAKUKURU ILALA TUSHAWATAARIFU MARA NGAPI ? KISHA WANATUMIA NAMBA 0737168899 KUTUAMBIA TUTAJE WATU WENGINE ?? HATUBAHATISHI NA HATUNA MDA WA MAJUNGU NA MTU ANAYELAZIMISHA UBUNGE KWA KILA STAIL HADI KUPOTEZA WATU. AU ALI VYO MLESTISHA MAMA UBUNGE ALIYEPITA PIA MAJUNGU ???? TULIA WEWE ILA SIO ACKSON
 
Jerry hana mvuto, nadhani hana kabisa nyota ya kupendwa na wapiga kura wa CCM, ubunge hawezi shida
 
Back
Top Bottom