Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 13,092
- 23,449
- Thread starter
- #21
Nani amesema? Yesu alichomaanisha ni kwamba utajiri unakufanya ucheze karibu sana na dhambi - dhuruma, dharau, kiburi, majivuno, ushirikina, kufuru nk. Ni matajiri wachache sana wanajali mambo ya Mungu. Kama utajiri ungekuwa dhambi Mungu asingempa Solomani utajiri - na hajatokea mtu tajiri duniani kama alivyokuwa Solomoni. Pia angalia story ya Ayubu - Mungu alimbariki kwa utajiri.Kwahiyo utajiri ni dhambi?