Taja jina la Wimbo unaouchukia lakini bado watu wengine wanaupenda

Sielewi sababu ya kupenda nyimbo kama Kanyaga (Diamond), mapenzi ya huu wimbo yakanifanya niamini Diamond anatumia mbinu nyingine kukubalika

Ule Wimbo wa Ali Kiba, eti Wananita Kipusa, ni upupu tu uliopewa promo

Nyimbo za bongo hip hop nyingi ni kali lakini huwa sielewi kwanini hazipewi hadhi yake
Wakuu nawasilisha!!! Nikianza na mimi

Nyimbo karbu zote za burna Boy

Wewe☟☟☟

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sielewi sababu ya kupenda nyimbo kama Kanyaga (Diamond), mapenzi ya huu wimbo yakanifanya niamini Diamond anatumia mbinu nyingine kukubalika

Ule Wimbo wa Ali Kiba, eti Wananita Kipusa, ni upupu tu uliopewa promo

Nyimbo za bongo hip hop nyingi ni kali lakini huwa sielewi kwanini hazipewi hadhi yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Apo kwenye mond
Hip hop wapo vzr sema wengi wao tunawasikilizia kwenye simu zetu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom