Taiwan yazidi kujitangazia Uhuru wake kutoka China"" China yaionya," China inahofia nini?

Taiwan ni strategic area kwa uchumi wa china...hasa kwenye technology..
 
China mjanja, hataki kuingia moja kwa moja Taiwan kucheza ngoma ya mmarekani, huko Taiwan inaonekana China ina mpango wake mwingine hasa kuishughulikia Taiwan kiintelijensia.
 
Marekan analijua hlo ndo maana mwak Jana Dec kawauzia Taiwan advanced aegis destroyer kwa ajili ya kushot down ballistic missiles ,Tomahawk missiles,etc.....mchina kapga kelele weeeee lkn hakuambulia kitu na ishu ya Taiwan itakua ngum kushinda cremia maana jeshi la Taiwan sio lele mama na miaka ya hv karibun wameongeza defence bajet yao ili kuAdvance zaid
Huna unacho kitambua ww taiwan ni ka kisiwa kama znz hata jimbo la guanzou taiwan inaingia karibu mara ishirin watawezaje kupigana na china ambayo ni powerfull dunian hata wauziwe nini hawawezi
 
Chinese government will never touch Taiwan n its citizens in any way rather it will protect them

Sent from my SM-N910X using JamiiForums mobile app
 
china mainland anatumia ubabe tu,mbona tibet,hongkong na kwingneko anawabania?na ndo maana anataka kuchukua china south sea yote.ngoja tuone hii game iatakuwaje
 
Haitotokea hata siku moja China iivamie Taiwan kijeshi itaishia na mikwara yake kongwe ya miaka na miaka..Taiwan imeisaidia sana China kusimama kibiashara na kitekinolojia
kuna watu wanawachochea china kuhusu taiwan kwa kuiuzia silaha nyng taiwan ili apate mchecheto wa kupigana...wanajua kwamba cku china ikipigana na taiwan basi na uchumi wake utaanguka pakubwa sana.....watu wanachanga karata hapa kuna hesabu nyingi sn mkuu..nakubaliana na ww kuwa china hatoivamia taiwan
 
china mainland anatumia ubabe tu,mbona tibet,hongkong na kwingneko anawabania?na ndo maana anataka kuchukua china south sea yote.ngoja tuone hii game iatakuwaje
hii game ni ngumu mno lakin china kadri china anavyozid kuwa aggressive ndvyo anavyozdsha maadui,ASEAN wote wanamdiss mchina hii si nzur kwa uchumi wake..pia hata marafiki zake wa asili kama vietnam wanaanza kuongeza ukaribu wao na marekan mzee wa matukio.....ila tie will tell
 
Back
Top Bottom