Taifa Stars yafungwa 1 - 0

na nimesoma mahala imelalamikiwa kuwa goli tulilofungwa ni makosa ya kipa...nachoshindwa kuelewa iweje kocha akamwita ivo mapunda so mapema n haraka after kufungiwa wakati hajacheza match nyingi na kumwacha mtu kama juma kaseja??hivi kaseja alimfanyaga kosa gan maximo???sio bure aiseee

May be alichukua demu wake. Nasikia Kaseja si mchezo bwana si aliwahi kumpiku hata mchezaji mwenzake klabuni kwa kuchukua wife wake na kumuoa? unadhani mchezo huyo?
 
Solution ni ku-eliminate politics from soka, Tz yetu hii siasa zimeharibu kila idara...elimu, michezo, afya, mazingira, etc etc,we talk alot!!! utekelezaji hamna, TUNABAHATISHA tuu!!

Nakwambia yule Maximo angekuwa hajaletwa na serikali, so far tok kipindi aje tungekuwa tumebadilisha makocha kama sita hivi!!

Dawa ya kwanza ni tutenganisha siasa na michezo jamani!!, leo hii Taifa cup tunaambiwa na Kandoro sio michezo ya ''kukuza vipaji'', inhali Mizengo alisema vyake, TBL walisema vyao, TFF walisema vyao..tutafika kweli??

Sijajua kwenye michuano inayoendelea ya soka ya Coca Cola under 17 kama team zetu kubwa (simba na yanga) wanayatupia macho!!...lakini goshhh!!, ata wawachukue vijana palle wataishia kuwatelekeza tu kama kin Kiemba!!

Hiyo ndio soka ya Bongo!!
 
hilo timu lenu la taifa ni uharo mtupu...na kama mnataka vidonda vya tumbo au BP za ujanani basi endeleeni kulishangilia.
 
Manda uko right mambo ya kugeuza kila kitu siasa na mtaji wa siasa hatutofika kokote..na kama tunataka kukuza soka basi tuwe na mipango ya muda mrefu sio unahire kocha leo unataka ushinde mwezi wa tisa(UJUHA)...

Tuko tayari kuvunja benki tulete kocha wa maana mwenye malengo ya muda mrefu?
 
labda taifa star itatashinda jmosi!itawapa kipigo simba wasiofugika
 
Back
Top Bottom