Taifa stars inaweza beba Hadi world cup kama ipo chini ya benchi la ufundi la Yanga SC

Mawazo yako kama haya ukiwakilisha mbumbumbu wengine wote ndio mtaji ambao Yanga inatumia kubeba makombe, huu mwaka wa nne wananchi tunabeba tena no doubt!!

Yaani hata hujui Yanga imetoa wachezaji 14 timu za taifa ambao wanacheza Afcon qualifiers games, sasa bado huoni kuwa Yanga ina advantage na wachezaji wake kupata experience kubwa na kujenga stamina!!

Mpira ni mchezo wa wazi krosi za Boka hazipigwi gizani, chenga hatari za Pacome hazipigwi Bunju ni Lupaso.

Ni wazi kuwa Rage ni genius, anawajua vizuri kolo fans, hata ile stori kuwa muunganiko wa timu ulioagizwa na Fadlu toka South Africa kuwa sasa umefika mpakani Tunduma, mashabiki mmekubali kibubu bila hata kupiga cm Tunduma kuulizia kama kweli mzigo umefika hapo!!!

Mtani usikubali uto tukushauri vinginevyo utageuka jiwe. Shikilia bomba hivyo hivyo hadi mwisho wa ligi zote. Usikubali kabisa kubadili mawazo yako kuwa Yanga inahonga timu pinzani kama Belouizdad 4, Azam 4, Simba 5, Ihefu 5, Kmc 5 , Kaizer Chiefs 4. Shikilia imani kuwa Fadlu ni kocha bora wa makombe!!
Makolo wako nyumba sana
 
Salaam wakuu....

Leo nilikua nafuatilia mechi za Yanga plus mazoezi yao ....na Yale mazoezi ya mchezaji mmoja mmoja .... kwakweli hawa jamaa wanatisha

Ndipo nmeamini Kwann makolo walikuwa wanasema wachezaji wa Yanga wanatumia sawa za ku boost nguvu.....Ili kuwa na Kasi zaidi

So Kwa huu utafiti wangu. ..,nmegundua kuwa taifa stars wanaweza beba Hadi world cup kama bench la ufundi la yanga litaenda kupiga kaz pale starsView attachment 3089974

Halafu we dogo Injia Hersi anasema jana umemweka kukusubiri hukwenda Hotel. Ukaja enda akiwa ametoka. Ali mind sana kuwa unamwaribia ratiba zake. Ndo akaamua kuku block. Nenda kamwone leo umwombe msamaha. Mnataka muunganishwe na watu kisha mnaaanza kuharibu mkizoeana. Kisha mje sema hampigwi tafu au hamwezeshwi. Shauri yako.
 
sawa nadhani tumekubaliana wakifungwa wamefungwa yanga na wakishinda wameshinda taifa stars
 
Una maanisha nn mkuu
 
sawa nadhani tumekubaliana wakifungwa wamefungwa yanga na wakishinda wameshinda taifa stars
Siku walipokuwa wanacheza na Ethiopia mchezaji wa yanga sc akikosea walikuwa wanapiga kelele kwamba ona wachezaji wa yanga sikufuatilia vizuri kumbe kibabage alikuwa anacheza winga namba 11 duu ndiyo nikagundua kocha hamna kitu kibaya zaidi camera zilimuonyesha akitikisa kichwa nikajiuliza inaamaana akili zake zimeishia pale ama ni wachezaji nikapata kumbe ni akili za kocha
 
Back
Top Bottom