Da Vinci XV
JF-Expert Member
- Dec 7, 2019
- 3,862
- 6,442
- Thread starter
- #101
🙄🙄Sasa wanaoendaga leba inakuwaje wanapewa nanani hao watoto au ni wanapewa misaada
🙄🙄Sasa wanaoendaga leba inakuwaje wanapewa nanani hao watoto au ni wanapewa misaada
Hahahahahaha mbavu zanguHivi hakuna sehemu wanatoa huduma za kuongeza urefu
🤣🤣🤣🤣
Zimefanyaje brother 🤣🤣🤣
Sio surgery hizo, mi niliwah kumsoma huyu dada, walisema anatumia make-up.. not surgery as you statedWASAALAM
Fatemeh Khishvand, anayejulikana na jina lake la Instagram Sahar Tabar ni mwanada wa Irani ambaye alijizolea umaarufu mnamo 2017 kwa upasuaji na mapambo , kwenye picha zake zilizoenea mtandaoni ili tu afanane na mwigizaji nguli wa hollywood ANGELINA JOLIE
View attachment 1700531
Ilisemekana kwamba alikuwa amebadilisha uso wake kupitia upasuaji wa plastiki kama mara hamsini.
View attachment 1700532
Tabar alihojiwa kwenye televisheni ya kitaifa ya Iran mnamo Oktoba 2019 baada ya kukamatwa kwa mashtaka ikiwa ni pamoja na kufuru na kupata pesa kinyume cha sheria.
View attachment 1700533
Tabar alihukumiwa kifungo cha miaka kumi mnamo Desemba 2020.
View attachment 1700534
ANGELINA JOLIE
DA'VINCI XV
sawaSio surgery hizo, mi niliwah kumsoma huyu dada, walisema anatumia make-up.. not surgery as you stated
Kichaa cha binadamuWASAALAM
Fatemeh Khishvand, anayejulikana na jina lake la Instagram Sahar Tabar ni mwanada wa Irani ambaye alijizolea umaarufu mnamo 2017 kwa upasuaji na mapambo , kwenye picha zake zilizoenea mtandaoni ili tu afanane na mwigizaji nguli wa hollywood ANGELINA JOLIE
View attachment 1700531
Ilisemekana kwamba alikuwa amebadilisha uso wake kupitia upasuaji wa plastiki kama mara hamsini.
View attachment 1700532
Tabar alihojiwa kwenye televisheni ya kitaifa ya Iran mnamo Oktoba 2019 baada ya kukamatwa kwa mashtaka ikiwa ni pamoja na kufuru na kupata pesa kinyume cha sheria.
View attachment 1700533
Tabar alihukumiwa kifungo cha miaka kumi mnamo Desemba 2020.
View attachment 1700534
ANGELINA JOLIE
DA'VINCI XV
🤣🤣🤣🤣Kichaa cha binadamu
Naam nimepitia sehemu kazaa wengine wakidai ni sugery wengine wakidai ni Make Up.Sio surgery hizo, mi niliwah kumsoma huyu dada, walisema anatumia make-up.. not surgery as you stated
hahahahahaHivi hakuna sehemu wanatoa huduma za kuongeza urefu
Urefu wa kitu gani mkuu?Hivi hakuna sehemu wanatoa huduma za kuongeza urefu