Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,624
- 47,336
Haswaaa tena nyuma ndio kuna utelezi sana alafu pachafu. Usipokuwa mwangalifu utajikuta umekaa chini ushachafuka.Hizo nyuma ya ukuta?
Haswaaa tena nyuma ndio kuna utelezi sana alafu pachafu. Usipokuwa mwangalifu utajikuta umekaa chini ushachafuka.Hizo nyuma ya ukuta?
Mkuu....wenye pasi za mkaa tutakoma.......
Huyu ni jirani yako? Shushushu VIP???
Hilo bafu si la mchezo na huko alikoshika sasa
Duuuh bora tuteleze tu bafuni