Tahadhari: Wanachoma Kibanda chao, Wakimaliza Watachoma Nyumba Yetu

Alijiingiza kwenye mkenge eti kafungua kikampuni cha kukagua magari kabla ya kuletwa nchini toka uk.Alichokikuta kule hatovaa shati la kijani mpaka kutoweka kwake.
 
Admin futa huu uzi,Upo kichawi zaidi.
Mleta mada hajui asemalo wala msomaji hawezi jua ni kitu gani.
Hawa watoto under 18 wamepata simu za promosheni wanatuharibia jukwaa la great thinkers

Comment yako imekudharirisha sana,imethibitisha namna ulivyo na ubashite wa kutosha kichwani kwako.Ila ngoja nikupe "benefit of doubts" maana huenda ulikuwa unatania tu.
 
Kibiriti kiko mkononi, kuni zimeshakusanywa, wanasubiri mafuta wayamwage wawashe moto! Wanataka waote moto waondoe baridi lakini watachoma kibanda kwa kuogopa baridi. Wakimaliza hapo watahamia nyumba kubwa, nawahakikishia watahamia nyumba kubwa. Wakihamia nyumba kubwa watawasha moto huko nako ili waendelee kuota moto na kuchoma mahindi kwa muda mrefu zaidi.

Tazameni nimekwisha waonya, maandishi hayafi ila mtu hufa!!! Msikubali, mkikubali leo basi mtakua mmethibitisha mwanzo wa mwisho wa safari yenu na yetu. Yangu yameisha!!

Mkuu Kibanda kitachomwa hakuna mjadala, na hakuna wa kukizuia kisichomwe.
Na wataingia kwenye Nyumba kubwa kuipiga Moto, sioni wa kuzuia hayo yasifanyike.
Wahenga walinena "Mpiga uluzi mwisho ataimba".
Uluzi unaanza kupigwa taratibu ukikolea wataanza kuimba kama mzaha.
Wakifika kwenye kuimba na Shughuli ndio itakuwa imehitimishwa, maana watafanikiwa kununua vifaa vyote vya mziki ili wawe na Band kamili, na kifaa kimoja kikubwa tayari kishanunuliwa, na kiliponunuliwa tu nilikuwa nishamaizi kinapopelekwa.
Na tusubiri, muda ndio utanena.
 
Hao hawaoti moto wanagombea kumi zilizopo kwenye nyumba kubwa,na wameamua kumwagia Petrol Kibanda chao ili wahamie nyumba kubwa kufanikisha lengo lao.Tusikubali tutakosa pakukaa.
Wameghafirika nyumba yao ni ya mabua nzuri wakati wa joto. Kipindi hiki baridi imezidi wanachoma nyumba yao na inaungua kwa kasi. Wanagombea mabua yaliyokaki kuchoma nyumba kubwa. Wanadhani wana mafuta ya taa kumbe ni maji kwenye chombo cha mafuta ya taa. Wamechoka na wana njaa hata wamekula mbegu za msimu ujao.
 
Kibiriti kiko mkononi, kuni zimeshakusanywa, wanasubiri mafuta wayamwage wawashe moto! Wanataka waote moto waondoe baridi lakini watachoma kibanda kwa kuogopa baridi. Wakimaliza hapo watahamia nyumba kubwa, nawahakikishia watahamia nyumba kubwa. Wakihamia nyumba kubwa watawasha moto huko nako ili waendelee kuota moto na kuchoma mahindi kwa muda mrefu zaidi.

Tazameni nimekwisha waonya, maandishi hayafi ila mtu hufa!!! Msikubali, mkikubali leo basi mtakua mmethibitisha mwanzo wa mwisho wa safari yenu na yetu. Yangu yameisha!!
eti mathink tank wao wamewashauri wachome kibanda, na Yule baba mwenye mji asivyo na akili ukijumlisha na uoga wa baridi, anakubali tu.
 
Kibiriti kiko mkononi, kuni zimeshakusanywa, wanasubiri mafuta wayamwage wawashe moto! Wanataka waote moto waondoe baridi lakini watachoma kibanda kwa kuogopa baridi. Wakimaliza hapo watahamia nyumba kubwa, nawahakikishia watahamia nyumba kubwa. Wakihamia nyumba kubwa watawasha moto huko nako ili waendelee kuota moto na kuchoma mahindi kwa muda mrefu zaidi.

Tazameni nimekwisha waonya, maandishi hayafi ila mtu hufa!!! Msikubali, mkikubali leo basi mtakua mmethibitisha mwanzo wa mwisho wa safari yenu na yetu. Yangu yameisha!!
sikuwahi kujua kuwa historian nayo ina principle, (sikusoma historia) nilimsikia Mwalimu Hyerere Sikh moja akisema,
"ukianza dhambi ya ubaguzi haifi, utaendelea tu. kama ilivyo kula nyama ya mtu.

akaendelea kufafafanu sheria ya historia kuwa "unaweza kudhani mko wamoja kwa kuwa mnadhani mnaye adui mmoja yule mnayembagua, ndo anayewaunganisha, Siku mkimmaliza kumwangamiza Huyo adui. mtajikuta hatanyie wenyewe ni maadui"
 
Hahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kibiriti kiko mkononi, kuni zimeshakusanywa, wanasubiri mafuta wayamwage wawashe moto! Wanataka waote moto waondoe baridi lakini watachoma kibanda kwa kuogopa baridi. Wakimaliza hapo watahamia nyumba kubwa, nawahakikishia watahamia nyumba kubwa. Wakihamia nyumba kubwa watawasha moto huko nako ili waendelee kuota moto na kuchoma mahindi kwa muda mrefu zaidi.

Tazameni nimekwisha waonya, maandishi hayafi ila mtu hufa!!! Msikubali, mkikubali leo basi mtakua mmethibitisha mwanzo wa mwisho wa safari yenu na yetu. Yangu yameisha!!
nguvu ya 5 BRAVO
 
Back
Top Bottom