emmyfaith Member Mar 26, 2017 12 13 Apr 6, 2017 #101 Kwa kweli wenye kufahamu vizuri mahusiano na muuaji watujuze kama ndo mume mwenyewe mjeda aliyekuwa zenji au mchepuko vumbi
Kwa kweli wenye kufahamu vizuri mahusiano na muuaji watujuze kama ndo mume mwenyewe mjeda aliyekuwa zenji au mchepuko vumbi
xng hua JF-Expert Member Sep 24, 2016 3,302 5,378 Apr 6, 2017 #102 muuwaji ni professional maana hajaacha alama yoyote ...... Napata mashaka ila ngoja nsubiri uchunguzi kwanza
muuwaji ni professional maana hajaacha alama yoyote ...... Napata mashaka ila ngoja nsubiri uchunguzi kwanza
Machuchu JF-Expert Member Mar 31, 2017 1,260 962 Apr 6, 2017 #103 Nyie ndio mnajua leo. Nimehudhulia hadi mazishi uyu dada ni ndugu na mume wa dadayangu. inasikitisha sana na alishaoza apo alipo
Nyie ndio mnajua leo. Nimehudhulia hadi mazishi uyu dada ni ndugu na mume wa dadayangu. inasikitisha sana na alishaoza apo alipo
stable woman JF-Expert Member Nov 12, 2013 3,884 4,469 Apr 6, 2017 #105 Paprika said: Jamani!!! Mnaona ishu za michepuko hizo!!! Mnafanya wenzenu watende dhambi kama hizi!!! Click to expand... Ni michepuko kweli au unahisi? Marehemu tu na aliyehusika kumuua ndio wenye ukweli kamili!
Paprika said: Jamani!!! Mnaona ishu za michepuko hizo!!! Mnafanya wenzenu watende dhambi kama hizi!!! Click to expand... Ni michepuko kweli au unahisi? Marehemu tu na aliyehusika kumuua ndio wenye ukweli kamili!