GREATTHINKERMAN
Member
- Feb 25, 2011
- 51
- 9
Kumekuwa na tabia ya watu
wanapopokea simu huigeuza
na kusikilizia nyuma hii ni
hatari.
Mionzi ya mawimbi ya umeme
ambayo hugeuzwa kuwa sauti kutoka katika mnara wa simu
hupokelewa au huingilia
kupitia upande wa
nyuma,hivyo ni hatari sana
kwani unaposikilizia nyuma
husababisha mionzi kupenya moja kwa moja sikioni
nakwenda kuathiri ubongo.
Madhara sio rahisi kuyaona
haraka kwani huchukua muda
mrefu,hivyo kumbuka kutumia
simu kwa matumizi yake pia kumbuka kuiweka simu kwa
kutanguliza kioo au upande
wambele unapoweka mfukoni
ili ile mionzi isije kuathiri
mwili kwani kama utaigeuza
mionzi itakuja na kugonga upande stahili ambao ni nyuma
ya simu.
Mkuu asante kwa taarifa hiyo. Nikupata na hapa nimeelimisha wengine kama kumi nilikuwa nao ofisini