Tafakari: Kila sekunde moja inaenda sambamba na tukio fulani mahali fulani

Hyrax

JF-Expert Member
May 20, 2023
823
2,208
Leo nimekaa na kuwaza jambo fulani fikirishi sana sijui kama na wewe ulishawahi kufikiria nilichofikiria; Kila sekunde inayokwenda kuna tukio mahali fulani duniani kama ifuatavyo;

Kila sekunde moja kuna watu lukuki wanakufa
Kila sekunde moja kuna watu wanaambukizana ukimwi mahali fulani
Kila sekunde moja kuna watu wanauana mahali fulani
Kila sekunde moja kuna watu wamepata bonge la mchongo wa pesa na maisha yao yanabadilika
Kila sekunde moja kuna watu wanaanza mahusiano mapya
Kila sekunde moja kuna mwanaume anaamua kuwa shoga
Kila sekunde moja kuna mke wa mtu anagegedwa mahali fulani
Kila sekunde moja kuna mtu anapanga mipango ya kishirikina
Kila sekunde moja kuna binti anapata mimba itakayompa majuto katika maisha yake yote
Kila sekunde moja kuna mtu mahali fulani anafukuzwa kazi na maisha yake kubadilika kabisa
Kila sekunde moja kuna mtoto mpya anazaliwa duniani
Kila sekunde moja kuna watu wanapata ajali mbaya na kupata ulemavu wa kudumu
Kila sekunde moja kuna wapenzi wanatiana ngumi za kutosha
Kila sekunde moja kuna ndoa zinavunjika kwa sababu mbalimbali
Kila sekunde moja kuna wachawi wanakuwinda tayari mitego yako wanayo
Kila sekunde moja kuna mwanamke mahali fulani anafanya usagaji
Kila sekunde moja kuna wapenzi wanafanya mapenzi kinyume na maumbile na wanafurahia tu
Kila sekunde moja kuna wachungaji wapo kwa waganga wanaoitwa mashekhe
Kila sekunde moja kuna binti anatolewa bikra na kuharibu maisha yake
Kila sekunde moja kuna mtu anafanya kosa la jinai litakalompeleka jela
Kila sekunde moja kuna mtu anapata ajira baada ya kitambo sana kuteseka
Kila sekunde moja kuna watu wanabakwa
Kila sekunde moja kuna mahali watu wametekwa na wamepoteza tumaini la kuishi
Kila sekunde moja......

Tumia muda wako vizuri hapa duniani, Mtafute sana Mungu, Mche sana Mungu wapende watu na Mungu atakupenda wewe..
 
KAMA HUWEZI KURUDI JANA AU KWENDA KESHO BASI MUDA NI UTAPELI KAMA UTAPELI MWINGINE, HAKUNA KITU KINAITWA MUDA
 
Tumia muda wako vizuri hapa duniani, Mtafute sana Mungu, Mche sana Mungu wapende watu na Mungu atakupenda wewe..
Ongezea

Sekunde moja Kuna mwanaume anabakwa na mwanamke aliemzidi umri Ila haendi kushtaki kituo cha polisi

Sekunde moja kuna mwanamke anaingia kwenye group la masingle mother's

Sekunde moja kuna mtu ana andaa utaratibu wa kujiua na kukatisha uhai wake

Sekunde moja wapenzi waliopendana sana wanaachana kwa sababu ya kipumbavu

Sekunde moja mchawi anakuloga ukiwa umelala fofofo anakusotea matako anakujambia ukiamka unaumwa mafua kumbe ulikua unajambiwa na wachawi usoni

......
Ongezea zingine
 
Ukiona kila sekunde inasogea ba bado una survive.. mshukuru Mungu tu. Coz binadamu tunawindwa na kuwindana kama Ngorongoro national Park. yaani kila binadamu unaemuona anabeba sifa ya mnyama/ndege/mdudu fulani. Kuna watemi,wanaonewa,wanao tangatanga nk
 
Ndio maana nimeamua kumpigia magoti Mungu wangu nikisema Asante Bwana Yesu Kila iitwapo Leo.
 
Nilimuuliza mwana ecologically wa wanyama Kwa nn msizuie kifo cha Simba mashuhuri Bob junior akaninijibu
Kila sekunde moja lazima mnyama yoyote mwituni afe au aliwe na wenzake
Somo liliniingia Sana hilo
 
Waoga wa Kifo utawajua tu,Nasema hivi iwe muda iwe sekunde itajijua yenyewe,,kufa tutakufa tu,huwezi sema eti tumche Mungu kwa kuhofia kifo,Mungu anaabudiwa tu kwa mambo yote,tunazaliwa,tunaishi,kisha tunaded,Systimically
 
Back
Top Bottom