Bila shaka Sorry for the journey, word to word.
upo karibu na jibu.
Sorry for the lager.
Teh teh teh,' sorry and journey.'
''pole na safari'' tunasemaje hapo kwa ki-english?
Hizi tafsiri zote ni kama za neno kwa neno.... nahijaji za kimawasiliano...sio lazima ku-retain muundo wa lugha chanzi..
Sory for journey...
sina hakika kama wazungu wana utamaduni wa kupeana pole kwa safari kwa maana kwa wao safari ni ku-enjoy, kuburudika, kustarehe na kujifunza sio kama sisi wabantu unampa mtu pole ya safari bila kujali kuwa alifurahia safari au la! kama nimesafiri kuzuru mbuga za wanyama sasa pole ya nini wakati nilienda kuburudika!?