Tafadhali naomba tafsiri ya sentenzi hii katika lugha ya kiingereza!

yap word to word... vipi ipo hiyo katika utamaduni wa kiingerezaa? na kama ipo kwa maneno kama hayo wanasemaje wao? Literal translation..
 
Hizi tafsiri zote ni kama za neno kwa neno.... nahijaji za kimawasiliano...sio lazima ku-retain muundo wa lugha chanzi..
 
sina hakika kama wazungu wana utamaduni wa kupeana pole kwa safari kwa maana kwa wao safari ni ku-enjoy, kuburudika, kustarehe na kujifunza sio kama sisi wabantu unampa mtu pole ya safari bila kujali kuwa alifurahia safari au la! kama nimesafiri kuzuru mbuga za wanyama sasa pole ya nini wakati nilienda kuburudika!?
 

True safari za mswahili shida ile mbaya no comfort at all ,potholes, overloading, traffic police every metre ,name it!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…