Lakini yanayofanyika ni yaleyale...
Kama unaweza kulazimishwa na mkeo kufanya jambo la kifahari litakalokugharimu fedha na muda basi hata akili zako binafsi nazo zinapaswa kuwekwa chini ya uangalizihawa mama zetu ndio wanatuzingua sana...
I wish wanawake wangekuwa na akili kama zetu
Kinachovuruga watu sio NDOA, ni sherehe za harusi ambazo huwaacha watu na maumivu.Ndoa ni kitu kikubwa kama unao uwezo haina budi kufurahia na ndg na jamaa
Kutoa au kutotoa michango ni hiyari yako usikubali kulazimishwa na mtu yeyote
Watu 200?
Once in a life time...lazima iwe ya kukata na shokaLakini yanayofanyika ni yaleyale...
Ni mtazamo wako...Harusi za gharama kubwa inaonyesha hazijawahi kudumu muda mrefu
We unaongelea ndoaHarusi ni cheti tu,hizo zingine mbwembwe tu na BP za madeni
Kama mnaoana wakati mmeshaanza maisha na mnapesa za kutosha si mbaya kufurahia siku na ndugu na marafiki. Kama ni vijana mnaoana ni kheri kuangalia maisha ya mbele baada ya harusi.
Binafsi sina marafiki wengi sana, nikibudget harusi ya watu 200, 100 kutoka upande wa pili, hawa wale wanywe na kucheza mziki ninaona inatosha kuliko kufurahia ulikua na watu 600 kwenye harusi yako ambao huwafahamu.