Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,020
- 168,016
Khaaaaaaaaa Yaani wewe ni Mwanaume Mchoyo uliyekosa soni wala haya
Afu mbona kawaida tu huyo kaka nae
Chakula chenyewe kinaenda.....tu
Khaaaaaaaaa Yaani wewe ni Mwanaume Mchoyo uliyekosa soni wala haya
ME kama nyie mnanifanya nizidi kumthamini na kumshikilia mwanaume wangu....
Asee i see how blessed i am to have him.....
raha uumpe na hela utoe isee kaka haupo siliaz
utamu unao mwenyew kwa dem tunafata uterez tu
Afu mbona kawaida tu huyo kaka nae
Chakula chenyewe kinaenda.....tu
Hivi unawezaje kumwita mwanamke kwako ukiwa huna chakula?Kwa nini baadhi ya wanawake wanatabia za ajabu Sana? Mimi Nina demu mmoja kila nikimuita tuonane anakuja kweli lakini lazima aseme hajala hata kama ni saa ngp atasema sijala dear, naomba ushauri mwanamke huyu anamatatizo gani?
Huyu jamaa ni Mchoyo na Mbinafsi Aliyetukuka
Wanawake wa siku hizi sio kama wa zamani mimi nakumbuka nilivyo kuwa kijana nilikua nikipaka mafuta mazuri au nikijipulizia marashi mazuri napata maduu wakusaza ila ajabu Wa siku hizi wanapenda harufu za petroli na diesel yaan uspokua na gari utaishia kuita shemu.Kwa nini baadhi ya wanawake wanatabia za ajabu Sana? Mimi Nina demu mmoja kila nikimuita tuonane anakuja kweli lakini lazima aseme hajala hata kama ni saa ngp atasema sijala dear, naomba ushauri mwanamke huyu anamatatizo gani?
sasa demu wako anakwambia ana njaa alafu ww unaleta thread JF, hebu kwenda ukamnunulie chakula kwanza. kama huwezi mlete sie tumnunulie magari.