Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,815
Mtakumbuka kijana huyu alivyokuwa na heshma kwa jamii ya watanzania.Gafla akataka kukusaliti chama chake CDM"Enzi hizo kwa maslahi yake binafsi na Ccm
Kutokana na umakini wa mwenyekiti Mbowe na wenzake,Wakamwahi kabla kabwe hajaleta madhara kwa chama.
usaliti huo ulimfanya zitto kufukuzwa chadema na kwenda ACT huko nako ni tawi la ccm waliloliandaa endapo mpango wao wa kuipindua Cdm utafeli.
Sasa ukitaka kujua dhami ya usaliti haijawahi kumwacha mtu salama,Leo zitto kabaki mwenyewe kwenye chama chake.
Kulikuwa na mpango wa kumpa shavu kwa kazi aliyoifanya ya kuivuruga Chadema Lakini kwa bahati mbaya kapewa Kitila.Akiwa anavuta subira,mama Anna katwaliwa.
Na kwa bahati mbaya Mama Anna yeye kahama ACT kabisa na kujiunga Ccm.
zitto rudi uwaombe msamaha wanachadema,Usaliti ni dhambi mbaya na haikuwahi kumwacha mtu salama kamwe.
Sawa wacha pia tusubiri Usaliti wa Mbowe kwa Mke wake kwa kuSex na Wema Sepetu na Mama yake, tuone utamwachaje Mbowe!