roadmaster
JF-Expert Member
- Mar 21, 2023
- 1,609
- 2,751
Ila bila mchepuko hakuna maisha bana
Imeandikwa wapi?Ila bila mchepuko hakuna maisha bana
😁Waziri wa elimu DRC umesomeka
Unaamini ushirikina?Namba 6 ongezea ushirikina...
Unaweza kujiepusha nazo.Namba moja ni kikwazi jamani !!! Da!! Aisee Kuna pisi acheni tu
Unaamini ushirikina?
Sasa ikiwa unatambua si utarogwa na washirikina siku moja.natambua ya kwamba ushirikina upo na unatenda kazi...
Haijalishi ni kiasi hicho ama ni zaidi ya hicho hoja ni kwamba kumiliki wanawake wengi ni ubatili mtupu, watakufilisi siku moja.Mwanamke unamuonva 5000 au 150000 kwa mwezi akufanye uwe maskini?