Tabia 10 ambazo husababisha UMASKINI

Masikini ni yule mtu anayeishi chini ya dola moja kwa siku.
Ukiona unamudu hyo hali we ni tajiri wa kati. Sa Stress za kazi gani wazee๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Hahahahah hilo la masaa angesema kuwa productive hours zinatakiwa zizidi mapumziko! Sio unapumzika masaa 20 unafanya kazi masaa 4 unless uwe mtoto wa Zakaria au Bhakressa!
Yes angelieleza Productive Hours. Hata hivyo bado zina-vary kuna shift works/jobs zinahitaji masaa machache.
 
Ukweli mchungu! Baina ya watu 10 / 7 waliozaa hovyo ni maskini. Na ndio chanzo tanzu cha umaskini nchi ya Africa na mataifa yake.
Ukiwa na hela huzai hovyo ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜‚unazaa kwa mpango! Hata watoto wawe 10! Mchawi hela tu
 
1. Kutokuweka akiba,
2. Pombe+wanawake. Hvyo vitu ni hatar sana

Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa serikali inapataje kodi kama.hatugongi vyombo na kingine Sisi wanaume ni taasisi kubwa inayotoa grant wa wanawake kwa mashatri malaini sana kushinda hata serikali yenyewe imagine nymba ndogo ngapi zitaathirika tukikata funding kwankisingiio chakuogopa kuwa masikini . Na hii grants zina trickle down effect kubwa sana
 
As long as kufa ni Pie!

Siwezi kujitesa nitafanya the basics tu niishi maisha standard tu! Sina ulazima wa kuendesha gari la million 600 au nyumba ya billion 3 ikiwa ntalala masaa machache kuliko nayokuwa active!

Kula ntakula vizuri, bata ntakula na saving nitafanya! Ila siwezi kujitesa eti natafuta utajiri! I only need economic freedom tu
Hii comment naisupport na 9999 bags of cement
 
Wenye mali hawana akili, wenye akili hawana mali

Muda mwingine maisha hayana formula, unajitahidi kuwekeza, unajenga unapata magari yote... Paaaap umedondoka, unafika mbinguni unaona mali zote zile nimepambana kuzitafuta lakini wanakuja kutumia wengine, wewe hunufaiki nazo kihivyo though umetoa jasho sana

(Hapo ndio sometimes nawazaga nini maana ya maisha)

Naungana na mtoa mada hapo juu aliesema anataka kuridhika na kupata Uhuru wa kiuchumi...Maisha yenyewe mafupi haya, Umasikini upo na utaendelea kuwepo, Wote hatuwezi kuwa matajiri, tukiwa matajiri wote nani atamsaidia mwenzake? Kwanza hakutakalila hapa duniani maana kila mmoja ataonesha umwamba/jeuri ya fedha

Cha msingi kuridhika, kufanya kazi halali na kuweka akiba ili uwe na financial freedom.. Kesho haitabiriki na heshimu kila unayekutana nae, usimdharau mtu kwa kuwa hana kitu, wewe kwa kuwa unacho unajiona uko sahihi..
 
Hapo kwenye kuwa na watoto wengi binafsi napinga kabisa. Wingi wa watoto unakufanya akili iwe active muda wote mana utawazia ada, chakula na malazi. Lakini pia kama huna watoto wengi wa kuwazaa, kwa mila za kiafrika ujue ndugu watakuletea watoto wao uwalee.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Kuna kiwango cha kuwa na watoto
Sasa umezaa watoto 7,10 vp hapo

Ova
 
Wenye mali hawana akili, wenye akili hawana mali

Muda mwingine maisha hayana formula, unajitahidi kuwekeza, unajenga unapata magari yote... Paaaap umedondoka, unafika mbinguni unaona mali zote zile nimepambana kuzitafuta lakini wanakuja kutumia wengine, wewe hunufaiki nazo kihivyo though umetoa jasho sana

(Hapo ndio sometimes nawazaga nini maana ya maisha)

Naungana na mtoa mada hapo juu aliesema anataka kuridhika na kupata Uhuru wa kiuchumi...Maisha yenyewe mafupi haya, Umasikini upo na utaendelea kuwepo, Wote hatuwezi kuwa matajiri, tukiwa matajiri wote nani atamsaidia mwenzake? Kwanza hakutakalila hapa duniani maana kila mmoja ataonesha umwamba/jeuri ya fedha

Cha msingi kuridhika, kufanya kazi halali na kuweka akiba ili uwe na financial freedom.. Kesho haitabiriki na heshimu kila unayekutana nae, usimdharau mtu kwa kuwa hana kitu, wewe kwa kuwa unacho unajiona uko sahihi..
Duniani tumeletwa tutafute kula na makazi ya kuishi na kuzaliana! Haya ya kununua Renji Rover na bugati ni kihere here cha watu wachache!

Zaidi ya hapo muda mwingi tulitakiwa tusali na kushukuru mungu kwa riziki tunayoipata kila siku na kusaidia wasio na uwezo!

Neno langu si sheria ni mtazamo tu masela msijenge chuki!
 
hahahahah ni kwly iyo yote ni
###
waste of money or misuse of money
but si mbaya kama unafanya izo starehe mybe kwa mara chache
ila ndugu kama ndo ile daily kila wekeend upo ivo daah hutanunua hata toyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom