JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,670
- 6,432
Ulitaka afanye Nini?Korodani 20 uwanjani ziko zinaruka ruka tu,zake 2 tu zitafanya miujiza gani mkuu?Ananiboa tuu akiwa kwenye timu ya taifa
Yaani beki zenyewe kina Mwamnyeto ndio Taifa washinde mechi?Ananiboa tuu akiwa kwenye timu ya taifa
Dah! Ungenishuhudia enzi zangu nacheza mpira, ungekuwa unatabasamu tu muda wote.Ananiboa tuu akiwa kwenye timu ya taifa
Kumbee ulicheza timu ya Taifa?Dah! Ungenishuhudia enzi zangu nacheza mpira, ungekuwa unatabasamu tu muda wote.
Maana nilikuwa napiga magoli ya aina zote!! Ya mbali, ya karibu, ya penati, ya kichwa, ya miguu yote, ya visigino! Huku niliko mpaka kesho naitwa Mzee Pele.
Hapana bhana! Ni timu ya Kijijini kwangu tu huku milimani niliko. Ila ingekuwa ndiyo sasa hivi, nina uhakika kocha wenu Zolan angenipa mkataba faster ili kuokoa jahazi pale mbele.Kumbee ulicheza timu ya Taifa?
Aisee sema sasa ulikuosea kuwa huko unakoshabikiaHapana bhana! Ni timu ya Kijijini kwangu tu huku milimani niliko. Ila ingekuwa ndiyo sasa hivi, nina uhakika kocha wenu Zolan angenipa mkataba faster ili kuokoa jahazi pale mbele.
ChandimuDah! Ungenishuhudia enzi zangu nacheza mpira, ungekuwa unatabasamu tu muda wote.
Maana nilikuwa napiga magoli ya aina zote!! Ya mbali, ya karibu, ya penati, ya kichwa, ya miguu yote, ya visigino! Huku niliko mpaka kesho naitwa Mzee Pele.