Hivi karibuni serikali ya jamhuri ya muungano Wa Tanzania chini ya Rais Samia suluhu Hassan, karibu kila ofisini ya serikali kuna simu za Ofisi ambazo Mwananchi Akiwa na Jambo Akihitaji ufafanuzi basi hutakiwa kupiga simu nakupewa Majibu yatakayo saidia kutatua changamoto Yake.
Matumizi ya simu hizo imekuwa tofauti kabisa Leo hii ukipiga simu kwenye namba hizo za Ofisi za taasisi ya serikali NI ngumu Sana kupokelewa na hata ikipokelewa utasikilizwa nakupewa ufafanuzi lakini ikitokea tena Muda ule ule ukataka kujua kuhusu kitu kingine na ukapiga simu ofisin zilizo nyingi hazipokei simu.
Nashindwa kuelewa kupokea simu tu napo kuna ugumu gan ili kurahisisha huduma Kwa wateja?.
Kwa changamoto hii siyo Ofisi zote lakini zilizo nyingi simu hawapokei kabsaaa itaita mpaka ikate na hata ukipiga mara kumi huwezi kupokelewa.
Nimefanya utafiti mfupi taasisi zinazofanya vizuri kwenye kupokea simu ambazo binafsi nilipiga simu Zaid ya mara Tatu Kwa siku na wanapokea simu na nakutoa msaada ni
✅Rita wanapokea Kwa wakati na wanatoa Majibu Kwa haraka sana
✅ Zimamoto
✅Nida ila hutoa Majibu magumu fika ofsini
Taasisi Ambazo hazipokei simu hata iwe Mvua au jua NI.
✅Nacte Kanda zote
✅Open university makao makuu
✅TCRA
Ushauri wangu NI vyema namba za huduma Kwa wateja zikafungwa kama hakuna mtu Wakupokea simu kuliko kupiga simu iite na isipokelewe na hata ukituma SMS hujibiwi
Soma Pia: Wizara/Shirika/Taasisi gani ya serikali ina huduma bora kwa wateja mpaka unatamani taasisi zote zingekuwa kama wao?
Pia Jambo hili huchangiza usumbufu mkubwa Kwa Wananchi kutakiwa kufika ofisin Kwa swala ambalo lilihitaji Majibu ya kwenye simu tu, nafaham NI ngumu Sana viongozi WA juu kutambua kama kuna Tatzo Hilo tubadilike!