Taasisi nyeti nchini Rwanda sasa zaongozwa na Wataalamu kutokea Ulaya, Marekani na Israel

Kagame ana akili ndefu beyond comprehension!

Rais Samia should emulate Paul Kagame hasa taasisi za mifuko ya hifadhi ya jamii wanazifuja sana fedha zinazo katwa kwa mafanyakazi kila mwezi zinaishia kwenye miradi hisiyo kuwa na kichwa wala miguu - akiajiliwa mzungu pale ubabaishaji utaisha - hata shirika la reli ya TAZARA nalo waajili mtu mweupe reli hisiwe inaendeshwa kisiasa.
 
Rais Samia should emulate Paul Kagame hasa taasisi za mifuko ya hifadhi ya jamii wanazifuja sana fedha zinazo katwa kwa mafanyakazi kila mwezi zinaishia kwenye miradi hisiyo kuwa na kichwa wala miguu - akiajiliwa mzungu pale ubabaishaji utaisha - hata shirika la reli ya TAZARA nalo waajili mtu mweupe reli hisiwe inaendeshwa kisiasa.
Ajiri wewe mtu mweupe wa kukufuta kinyesi baada ya kujisaidia
 
Na Hilo ndio Baraza la kumshauri Kagame(PRESIDENTIAL ADVISORY COUNCIL-PAC).

Full Wazungu.
Screenshot_20221005-164436.jpg
 
Kimsingi hii siyo akili ndefu, huu ni ujuha. Wenzie hupeleka watu kwenye mafunzo ili kupata ujuzi ili kuwa endelevu, yeye anatumia yax payers money kuwanenepesha makaburu na mabwanyenye. Hakuna uendelevu hapa
Hakuna mtu mweusi ambae amepata ujuzi na kuwa endelevu kwa kupelekwa kwenye mafunzo,labda unamaanisha kuwa endelevu katika kufuja na kutafuna rasilimali za umma.Kwani unafikiri kuwa Tanzania wafanyakazi huwa hawapelekwi kwenye mafunzo?!
 
Hakuna mtu mweusi ambae amepata ujuzi na kuwa endelevu kwa kupelekwa kwenye mafunzo,labda unamaanisha kuwa endelevu katika kufuja na kutafuna rasilimali za umma.
Huenda hatupashani habari, ukienda productive sectors za Botswana utakuta watanzania wengi huko wanaziongoza kwa mafanikio, to mention a few
 
Huenda hatupashani habari, ukienda productive sectors za Botswana utakuta watanzania wengi huko wanaziongoza kwa mafanikio, to mention a few
Katiba,Sheria,kanuni,miiko na kadhalika ya Botswana ni safi ndiyo maana Raia yeyote wa kigeni anaweza kufanya kazi huko.

Sasa unafikiri kuwa Taifa ambalo Rais wake anahamasisha ufisadi tena kupitia TV ya Taifa na wananchi wake kama wewe wakaona ni jambo la kawaida na kutulia kama majuha, wafanyakazi wa uma wanaweza kuwa productive?!👇
 
Sasa unafikiri kuwa Taifa ambalo Rais wake anahamasisha ufisadi tena kupitia TV ya Taifa na wananchi wake kama wewe wakaona ni jambo la kawaida na kutulia kama majuha, wafanyakazi wa uma wanaweza kuwa productive?!
Kwahiyo unakiri kuwa kuajiri WAZUNGU siyo tiba, aksante
 
Safi kwa Rwanda pia taasisi hizi siyo nyeti maana hata huko USA, Canada , Australia, South Africa n.k wanaajiri pia wageni walio na uwezo mkubwa ktk fani mbalimbali.

Ni hapa kwetu tu Tanzania ndiyo tunafikiri kuajiri wenye utaalamu wa juu na weledi wakiwa ni wageni au diaspora ya kiTanzania ni kukosa uzalendo.
Kama kuna kitu kinaitwa ubaguzi nadhani susi wa tz tunaongoza. Binafsi sioni shida kutumika wataalamu wa nje kwenye baadhi ya nafasi ambazo tunahitaji exposure.

Sawala sio kua wazawa hawana akili, ila hawana exposure ya kutosha.

Mfano ukitafuta kampuni ya kujenga Maghorofa makubwa, hata kampuni za wazawa utapata na watakujengea vizuri tu maana wana exposure na hizo kazi. Lakini huwezi kusema kuna kampunininauzoefu wa kujenga SGR hapa bongo, thus why nilazima to export expert kutoka kwenye kampuni za nje ambazo zinauzoefu na hizi kazi.

Na hii haifanyiki Africa peke ake, ni mataifa mengi tuu maana huwezi kua expert kwenye kila kitu.

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom