kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 19,141
- 12,132
Ina maana ni kweli yupo mitaani anaonekana?Hakuna haja ya kulihusisha jeshi la polisi na upuuzi huo. Halafu pia Ben hawezi kukutwa na hatia kwa kujificha kwake; ila wale walitumia mapumziko ya Ben kuleta taharuki kwa watu na kuichafua serikali.