Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,198
- 128,135
Jokate ni sawa na Tundu Lissu 20.
hahaha wakati asubuhi ulikua unalia hapa kuwa Jokate aliwakimbia kwenye uchaguzi 2015 alafu leo kapewa cheo.
Jokate ni sawa na Tundu Lissu 20.
Ndio maana ukaitwa umoja wa vijana,akili ya kijana yeyote iko kwenye zipu.uvccm bhana kwa hiyo huyo jokate ilimradi aonekane tu hapo.
kweli chama kina wenyewe.
Wababe Kiboko ya UKAWA
Jokate ni sawa na Tundu Lissu 20.
Anaponaje kwa mfano??Jokate atapona kweli kwa shaka!
Mmmmh!
Vibabu Sadifa na Shaka!!!Jokate ni mpemba???
Anaponaje kwa mfano??
Hata kwangu asingepona pia
Wababe walio vuruga mkutano wa CUF?Wababe Kiboko ya UKAWA
Labda kwenye issue nyingine,lakini huyo failure wa shule akakimbilia kwenye urembo duh!Hivi unajua fact ni kwamba wengi wanaokimbilia kwenye urembo kichwani hakuna kitu
Ha ha haaaa....!!!!!!,Shaka ni shost wa Jokate hana madhara kwa Jokate.
Ya Mombasa umeyasahau ?Jokate atapona kweli kwa shaka!
Mmmmh!
Aisee kumbeShaka hapigi show huyo.
WEMA SEPETU NDO ANA AKILI? MAANA ALIKUA MISS TANZANIA JOKATE YEYE ALISHIKA NAFASI YA PILINimekwambia hivi as long as aliamua kuingia kwenye urembo akili hakuna period.Hata uwe na PhD.Sijaongelea issue za Wema Sepetu,tunaongelea Jokate
Muvi hazilipii, mawigii na nywele bandia ziligomaa sasa ili uendelee kuwepoo bora ukajiingizamo kwenye siasa japo kidogomooouvccm bhana kwa hiyo huyo jokate ilimradi aonekane tu hapo.
kweli chama kina wenyewe.
Fake people
Hata hawajitambui hao uvccm
Avator zenu zina majonzi nini shida?haha mkuu kwa Jokate imebidi uchutame tu kwakuwa hauna namna nyingine tena.