Voice of Tanzania
JF-Expert Member
- Sep 23, 2018
- 2,019
- 3,075
Hizo course hapo nilizozitaja kama wenye mamlaka wangezizingatia hao watu nje na elimu wanaweza kufanya kazi nyingi sana kama za utendaji,afisa maendeleo, mipango nk lakini Cha ajabu hizo courses ati hata utumishi juzi wamezikataa kwenye ajira za ualimu Sasa wakaombe ajira gani hao watu?hii ya mwisho angalau, ina kitengo ndani ya idara ya elimu.
Hizo za juu zinaongoza kwa kusomewa masters watu wanatafuta madaraka tu.