Taa za Namanga, mke wa Balozi Mahiga na tamko la rais

Mie hapo Namanga nilishaaiacha lesseni yangu. Gani hata kama taa mbovu wao hawataki kusikia, wabategesha ukosee ndio furaha yao. Ahsante kwa somo mleta mada.
 
Ambiente Guru.

Nafananisha taa ya njano na mlango wa benki. Muda wa kufunga benki ukifika wale wateja waliyomo ndani watahudumiwa.

Taa ya njano ikiwaka wakati umeingia barabara nyingine inatakiwa umalizie kwenda na sio kurudi nyuma.

Lakini kumbuka taa zote za barabarani timing yake inatokana na spidi iliyoruhusiwa katika eneo husika. Na ndiyo maana sehemu nyingi Dar taa ya njano huwaka kwa muda mchache sana wakiamini magari yanauwezo wa kusimama kwa urahisi kutokana na kutokuwa na spidi kubwa.

Kama taa ya njano imewaka kabla ya kukutana au kuingia barabarani nyingine basi simama na usiendelee.

Ila kama ulishaingia kwenye barabara nyingine basi malizia. Nafikiri ndiyo nadharia yake.
 
Mkuu umeongea ukweli mtupu, ilishawahi kunitokea pale namanga corner ya kwenda msasani twice, no kweli traffic wanaokaa pale no wanawinda usogee kwenye zebra baada ya taa ya kijani kuzima ghafla na kuwaka nyekundu pas ipo njano kuwaka ili wakutoze rushwa, nilitamani nimpige vibao yule mwanamama
 
Mimi

Zile taa ni jipu. Watu wengi hasa akina mama wanakamatwa sana pale namanga kuelekea msasani kwa sababu ya kukanyaga Zebra au kumalizia taa ikiwa nyekundu kwa sababu taa za njano hazifanyi kazi.
 
Unazunguuuuka lkn lengo lako ni lile lile tu la Mke wa Waziri Mahiga na Trafiki jambo ambalo limeshajadiliwa kwa kina na mapana na hakuna kilichobakia tena kujadili! sasa si ungehifadhi muda na akili yako kwa mambo mengine na kuandika tu moja kwa moja kuhusu Mke wa Waziri Mahiga na trafiki?? au uliogopa labda uzi wako kuunganishwa???
Mleta mada kaongea vitu muhimu kuhusu pale kona ya Namanga ambapo havijaongelewa sehemu yoyote. Nani kakutuma umkosoe. AU NDIO AJIRA ya book7
 
Asante Mcharo sana.

Watu wengi hawaelewi tuna mitizamo na experience tofauti tofauti. Na lengo kuu LA hizi nyuzi ni kuelimisha na wakati mwingine hata kufurahisha na kupata akili za ziada.
 
Yaani sikuhizi usikosee kidogo afu we ni una pesa au cheo flani watu wanakutaftia point ili uonekana unatumia cheo au utajiri kunyanyasa wa chini.yaan sshv ukiw na gar kuwa makini sana ht ikitokea bodaboda kakugonga kwa nyuma we ndo una makosa wanakuchoma moto ati!
 
Unazunguuuuka lkn lengo lako ni lile lile tu la Mke wa Waziri Mahiga na Trafiki jambo ambalo limeshajadiliwa kwa kina na mapana na hakuna kilichobakia tena kujadili! sasa si ungehifadhi muda na akili yako kwa mambo mengine na kuandika tu moja kwa moja kuhusu Mke wa Waziri Mahiga na trafiki?? au uliogopa labda uzi wako kuunganishwa???
Kwa sisi wengine tumepewa tahadhari ya. hilo eneo na tabia ya askari
 
Poleni na Majukumu.

Sina nia ya kuendeleza mjadala unaohusisha tuhuma za Mke wa Balozi Mahiga kumtukana askari na baadaye Rais Magufuli kutoa agizo huyo askari apandishwe cheo, lakini natoa angalizo kwa yale yaliyonikuta pale taa za Namanga kama unaelekea kulia kwenda msasani.

ANGALIZO 1: Sijafatilia kujua kama mtafaruku tajwa hapo juu unahusiana na taa za Namanga, japo inaelezwa sehemu tajwa ni Namanga. Kama maelezo yangu yatakuwa hayarandani na eneo la tukio basi huu uzi utakuwa wa kuelimisha tu na sio vinginevyo.

ANGALIZO 2: Nina mwezi mmoja tangu nitoke Dar inawezakana hizo taa zimesharekebishwa.

Mwezi mmoja sasa umepita tangu askari anikamate. Nilikuwa natokea taa za St. Peters kuelekea taa za Namanga ili nikunje kulia kuelekea Msasani. Taa za Namanga zilikuwa zimeruhusu kuelekea kulia (Kuelekea msasani). Ghafla ule mshale unaoonyesha kwenda kulia ulizima na taa nyekundu zikawaka. Wakati hili linatokea nilikuwa tayari najiandaa kukata kona kuelekea msasani lakini kwa sababu mwendo wangu haukuwa mkubwa nilisimama. Nafikiri pana Zebra japo sina uhakika. Kwa maana hiyo nitakuwa lazima nilizikanyaga au nilikuwa mbele zaidi.

Nilisubiri taa ziniruhusu kuelekea Msasani. Kwa mbele kumbe askari alikuwa ananisubiri kwa hamu. Akanipiga mkono na nikasimama. Nikamsalimia kwa heshima zote na nikampa pole kwa majukumu. Akaniomba leseni nikampa.

Akaniuliza kama najua kosa langu au anipeleke nikalale ndani. Nikamwambia kwa mwonekano naonekana nimefanya kosa lakini kinadharia makosa sio yangu. Hapo ndipo alipoanza kunieleza kwamba unajua gari ni kaburi na pale uliposimama haparuhusiwi kusimama. Akaenda mbele kusema labda nilikuwa natafuta sifa kwa mke wangu. (Wife alikua pembeni) Dah nikacheka moyoni na kusema huyu hanipati japo nilimwambia kwamba gari langu sio kaburi ni gari.

Nikatumia utashi na wala sikugombana naye. Sikumpa sababu ya kugombana. Nikamuuliza kama anajua Taa za njano haziwaki pale taa za Namanga. Akaniambia zinawaka ila labda zimefifia na hilo ni tatizo la TANROADS. Nikamwambia hizo taa haziwaki na ni muhimu ziwake ili kama dereva ameisha kunja kuingia kulia na taa za kijani zikazima basi taa za njano zinamruhusu Dereva kumalizia kwenda lakini kwa tahadhari. Lakini kwa taa za njano kutokuwaka lazima tu kuna dereva atamalizia kuvuka na taa nyekundu au atasimama niliposimama mimi.

Yule askari hakuelewa lakini tuliyamaliza.

SOMO:

1. Askari siku hizi wanakaa pale namanga kusubiria taa za kwenda msasani zizime ghafla bila njano kuwaka na hivyo kusema umepita wakati taa nyekundu zinawaka.

2. Kama upo kwenye mwendo wa taratibu na ukawa unaelekea kulia (Msasani) na ukagundua taa za kukuruhusu zimezima, asilimia kubwa sana lazima utasimama mbele au katikati ya Zebra.

3. Kama Mfano wangu unarandana na wa Mama Mahiga basi yule traffic ana makosa kwa sababu tatizo ni taa za njano kutokuwaka na askari anakiri hilo sio tatizo lao bali la TANROADS.

4. Rais Magufuli angemuagiza IGP afatilie ilivyokuwa ili apate tabia au uadilifu wa yule askari na vigezo vya askari kupandishwa cheo. ( Hii inasaidia kujua kama yule askari ana skendo zozote au labda ana barua za onyo kuhusu vitu fulani ambazo zingeleta picha tofauti kwa askari wengine waadailifu ambao hawajawahi kupandiswa cheo.)

5. Kwa madereva. Kuna askari waaminifu na waadilifu sana, na kunao baadhi tabia zao zinaharibu jina la askari wote wa barabarani. Muhimu ni kutokulipuka wanapo kuudhi lakini simamia haki wa ueledi na utashi.

ANGALIZO TENA:

1. Sitetei mtu kuvunja sheria wala kutukana kwa sababu ya cheo chake wala familia yake

2. Recorded clip kati ya askari wa barabarani, Mama Mahiga na RTO haina tukano lolote kwenda kwa yule askari, unless kama askari alichelewa kurekodi.

3. Kazi ya askari barabarani inaelekea kwenye kukusanya mapato zaidi siku hizi badala ya kuelemisha na kusimamia sheria. (Kipimo cha kufanya kazi sana kwao ni kiasi cha mapato kitakachoingia)

Exactly mkuu
 
Kweli eneo la tukio wengi hatulifahamu lakini ni sehemu yenye zebra.
Hiyo recording ilifanyika baada ya kupiga simu kwa mkuu wake wa kazi ili ampe huyo mama ufafanuzi zaidi. Kabla ya hapo kulikuwa na mazungumzo. Mimi naona pamoja na yote huyo Askari alikuwa mstaarabu, majibu tunayopataga kutoka kwa matrafiki ni kiboko. Hata mimi na mme wangu tulishawahi kutukanwa design kama uliyoitaja wewe.
 
Inawezekana kabisa aliongea na mwenye cheo kingine zaidi ya hicho. Lakini ingekuwa vyema ungesema aliongea na nani kama sio RTO.
Trafic aliyewajibika kumkamata dereva wa mke wa waziri eneo lake la kazi lipo chini ya ocd kinondoni na bosi wa matrafic wote wilaya ya kinondoni wanawajipika kwa ocd kinondoni tu sasa huyu jamaa kasema alikuwa anaongea na RTO si kweli
 
Umeshinda mkuu japo somo ndiyo lilikuwa muhimu.
 
Poleni na Majukumu.

Sina nia ya kuendeleza mjadala unaohusisha tuhuma za Mke wa Balozi Mahiga kumtukana askari na baadaye Rais Magufuli kutoa agizo huyo askari apandishwe cheo, lakini natoa angalizo kwa yale yaliyonikuta pale taa za Namanga kama unaelekea kulia kwenda msasani.

ANGALIZO 1: Sijafatilia kujua kama mtafaruku tajwa hapo juu unahusiana na taa za Namanga, japo inaelezwa sehemu tajwa ni Namanga. Kama maelezo yangu yatakuwa hayarandani na eneo la tukio basi huu uzi utakuwa wa kuelimisha tu na sio vinginevyo.

ANGALIZO 2: Nina mwezi mmoja tangu nitoke Dar inawezakana hizo taa zimesharekebishwa.

Mwezi mmoja sasa umepita tangu askari anikamate. Nilikuwa natokea taa za St. Peters kuelekea taa za Namanga ili nikunje kulia kuelekea Msasani. Taa za Namanga zilikuwa zimeruhusu kuelekea kulia (Kuelekea msasani). Ghafla ule mshale unaoonyesha kwenda kulia ulizima na taa nyekundu zikawaka. Wakati hili linatokea nilikuwa tayari najiandaa kukata kona kuelekea msasani lakini kwa sababu mwendo wangu haukuwa mkubwa nilisimama. Nafikiri pana Zebra japo sina uhakika. Kwa maana hiyo nitakuwa lazima nilizikanyaga au nilikuwa mbele zaidi.

Nilisubiri taa ziniruhusu kuelekea Msasani. Kwa mbele kumbe askari alikuwa ananisubiri kwa hamu. Akanipiga mkono na nikasimama. Nikamsalimia kwa heshima zote na nikampa pole kwa majukumu. Akaniomba leseni nikampa.

Akaniuliza kama najua kosa langu au anipeleke nikalale ndani. Nikamwambia kwa mwonekano naonekana nimefanya kosa lakini kinadharia makosa sio yangu. Hapo ndipo alipoanza kunieleza kwamba unajua gari ni kaburi na pale uliposimama haparuhusiwi kusimama. Akaenda mbele kusema labda nilikuwa natafuta sifa kwa mke wangu. (Wife alikua pembeni) Dah nikacheka moyoni na kusema huyu hanipati japo nilimwambia kwamba gari langu sio kaburi ni gari.

Nikatumia utashi na wala sikugombana naye. Sikumpa sababu ya kugombana. Nikamuuliza kama anajua Taa za njano haziwaki pale taa za Namanga. Akaniambia zinawaka ila labda zimefifia na hilo ni tatizo la TANROADS. Nikamwambia hizo taa haziwaki na ni muhimu ziwake ili kama dereva ameisha kunja kuingia kulia na taa za kijani zikazima basi taa za njano zinamruhusu Dereva kumalizia kwenda lakini kwa tahadhari. Lakini kwa taa za njano kutokuwaka lazima tu kuna dereva atamalizia kuvuka na taa nyekundu au atasimama niliposimama mimi.

Yule askari hakuelewa lakini tuliyamaliza.

SOMO:

1. Askari siku hizi wanakaa pale namanga kusubiria taa za kwenda msasani zizime ghafla bila njano kuwaka na hivyo kusema umepita wakati taa nyekundu zinawaka.

2. Kama upo kwenye mwendo wa taratibu na ukawa unaelekea kulia (Msasani) na ukagundua taa za kukuruhusu zimezima, asilimia kubwa sana lazima utasimama mbele au katikati ya Zebra.

3. Kama Mfano wangu unarandana na wa Mama Mahiga basi yule traffic ana makosa kwa sababu tatizo ni taa za njano kutokuwaka na askari anakiri hilo sio tatizo lao bali la TANROADS.

4. Rais Magufuli angemuagiza IGP afatilie ilivyokuwa ili apate tabia au uadilifu wa yule askari na vigezo vya askari kupandishwa cheo. ( Hii inasaidia kujua kama yule askari ana skendo zozote au labda ana barua za onyo kuhusu vitu fulani ambazo zingeleta picha tofauti kwa askari wengine waadailifu ambao hawajawahi kupandiswa cheo.)

5. Kwa madereva. Kuna askari waaminifu na waadilifu sana, na kunao baadhi tabia zao zinaharibu jina la askari wote wa barabarani. Muhimu ni kutokulipuka wanapo kuudhi lakini simamia haki wa ueledi na utashi.

ANGALIZO TENA:

1. Sitetei mtu kuvunja sheria wala kutukana kwa sababu ya cheo chake wala familia yake

2. Recorded clip kati ya askari wa barabarani, Mama Mahiga na RTO haina tukano lolote kwenda kwa yule askari, unless kama askari alichelewa kurekodi.

3. Kazi ya askari barabarani inaelekea kwenye kukusanya mapato zaidi siku hizi badala ya kuelemisha na kusimamia sheria. (Kipimo cha kufanya kazi sana kwao ni kiasi cha mapato kitakachoingia)

Kumbukumbu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom