Taa ya engine inawaka

Naelewa sana, but kuna wakati niliaribiwa gearbox ya X5 sitaki hiyo bulb tena, milele!!!
 
Naelewa sana, but kuna wakati niliaribiwa gearbox ya X5 sitaki hiyo bulb tena, milele!!!
Mkuu pole sana kuna aina za tester za kutumia tester za LED diode ndio zakutumia na hata mm natumia hiyo pia..fuse ikiwa imekata au mahala moto haufiki huwezi pima na mashine
 
Mkuu pole sana kuna aina za tester za kutumia tester za LED diode ndio zakutumia na hata mm natumia hiyo pia..fuse ikiwa imekata au mahala moto haufiki huwezi pima na mashine

Nimekuelewa ndugu, jamaa alipima akasema umeme haufiki akarusha umeme, gearbox chali
 
Nimekuelewa ndugu, jamaa alipima akasema umeme haufiki akarusha umeme, gearbox chali
Duu sasa umeme haufiki harafu unarusha umeme badala ya kufuatilia kwa nini haufiki.

Harafu gari za siku hizi utengenezaji wake ni mgum sana coz hakuna sehem utapima utapata moto waya mmoja unaweza fanya.kazi hata zaidi ya 10 unapitisha signal tuu basi..ni progmammed sana.

Mambo ya data
 
Wewe ni mtaalamu unaonekana hubabaishi. asante sana maana umetusaidia wengi.
stay blessed.
 
Mkuu gari yangu - inawaka taa ya ABS, VSC, handbrake na 4WD kwenye dash board, je tatizo ni nini?
 
Je ilikuwa inawaka kabla ya kubadilisha hiyo gasket? Kama na ndio ni jambo la kufuta error. Lakini hiyo nadhani ni bei ya kawaida kama una wasiwasi unaweza kumtafuta huyu Bwana. 0717228064.
Mkuu gari yangu - inawaka taa ya ABS, VSC, handbrake na 4WD kwenye dash board, je tatizo ni nini? Je kwa tatizo nimuone nani
 
Salam wadau. Taa ya check injini ya Toyota Coaster, model HDB50, engine 1HFE inawaka na kupoteza nguvu (accelerator haivuti) baada ya kutembea km kadhaa. Hali hii ina wiki sasa. Nimeipeleka gereji ili ikapimwe kwa kutumia mashine (OBD) na majibu yake ni kama yanavyoonekana. Pamoja na majibu hayo, wanashindwa kutatua tatizo. Naomba ufumbuzi katika hili
 
Attachments

  • IMG_20190430_141823.jpg
    179.9 KB · Views: 21
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…