uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 16,173
- 30,481
Mkuu unakosea harafu labda nikwambie tuu.kuwa mashine haitengenezi gari mashine ni kama spana tuu kwa fundi.kuna mahali hiyo bulb ya kiwaya au tester ni mhimu zaidi kuliko mashine.
Na unafaham kuwa kupima gari kwa njia ya manually ni uhakika zaidi kuliko ukitumia mashine.
Kuna mda huwa tunapima na mashine na huwa hatupati jibu sahihi lakini ukipima na tester au kipande cha waya unapata jibu sahihi zaidi.mashine zipo kiujumla lkn ukipima manually unapata jibu sahihi zaidi.
Naelewa sana, but kuna wakati niliaribiwa gearbox ya X5 sitaki hiyo bulb tena, milele!!!